Singida : Yanayojiri kwenye Maandamano ya Chadema yanayoongozwa na Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,209
219,370
Mapambano ya kudai haki bado yanaendelea , Ambapo leo Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria Mbovu za Uchaguzi , Yamefika Mkoani Singida , Yakianzia Singida Mjini

Screenshot_2024-04-27-11-12-01-1.png

Usiondoke JF kwa vile nitakuletea kila kitakachojiri
==========

Screenshot_2024-04-27-19-06-09-1.png
Screenshot_2024-04-27-19-11-49-1.png
 
Badala mpinge
1)Devaluation of local currency
2)Theoretic based curriculum in schools
3) Democratic rule (hii ilishindwa hata mbinguni)

Nyie mnapinga vitu simple simple ambavyo hata sio matatizo ya taifa. Tukipiga hatua kwa huu upinzani na serikali iliyopo madarakani nahama nchi naenda gaza
 
Mkuu andika kiswahili. Hiki siyo kingereza yaani hakuna kingereza cha hivi. Kwanza tanzania hakuna devaluation of currency ispokuw kuna depreciation tu kidogo. Pili hakuna kitu kinaitwa democratic rule halafu hakuna kitu kinaitw theoretic curriculum. Labda hiki ni kingereza cha Mnyika.
 
Mimi ndio mnyika mwenyewe, kama haujaelewa rudi shule, hii sio kwa ajili ya watoto wanaolala kwa shemeji
 
Badala mpinge
1)Devaluation of local currency
2)Theoretic based curriculum in schools
3) Democratic rule (hii ilishindwa hata mbinguni)

Nyie mnapinga vitu simple simple ambavyo hata sio matatizo ya taifa. Tukipiga hatua kwa huu upinzani na serikali iliyopo madarakani nahama nchi naenda gaza
Hayo yote ni kama umechukua kwenye kitabu chetu , kwa Taarifa yako Chadema hakuna isichokijua kwenye hayo uliyoyaleta , utatuzi pekee ni kuondoa ccm , na ndio maana tunataka sheria mbovu za uchaguzi zitupwe .

Matatizo hayawezi kutatuliwa kwa kutumia akili za watu walewale walioyaleta
 
Mkuu wameishiwa hao. Kwa sasa hawana cha kusema maana kaupiga mwingi MAMA
 
Hayo yote ni kama umechukua kwenye kitabu chetu , kwa Taarifa yako Chadema hakuna isichokijua kwenye hayo uliyoyaleta , utatuzi pekee ni kuondoa ccm , na ndio maana tunataka sheria mbovu za uchaguzi zitupwe .

Matatizo hayawezi kutatuliwa kwa kutumia akili za watu walewale walioyaleta
Sasa ili kusaidia taifa, kama lengo lenu ni ku solve temporary probs, nadhani mngewekeza nguvu kwenye sector ambazo zinagusa maisha ya watanzania kwa asilimia zaidi ya 90.
1)Elimu iwe ya vitendo.
2)tuwe na kiwango kikubwa cha bidhaa na huduma zinazouzwa nje kuliko tunazo ingiza (viwanda, kuboresha kilimo kupitia teknolojia n.k..)

Itamfaa nini mstaafu akipewa mafao yake huku mtaala wa elimu anayomsomesha mtoto wake unamfanya awe butu kwenye soko la ajira na kujiajiri ( kichwani ana elimu ya makaratasi)?

Itamfaa nini mtanzania atakeyekuwa ananunua sukari kwa bei ndogo huku pesa yake inashuka thamani kila siku?

Hili mliangalie makamanda
 
Badala mpinge
1)Devaluation of local currency
2)Theoretic based curriculum in schools
3) Democratic rule (hii ilishindwa hata mbinguni)

Nyie mnapinga vitu simple simple ambavyo hata sio matatizo ya taifa. Tukipiga hatua kwa huu upinzani na serikali iliyopo madarakani nahama nchi naenda gaza
Ona huyu tahira !!!Unaweza kupinga hivyo kwenye nchi yenye Wananchi takribani 80% ni wakulima wasiojua chochote kuhusiana local currency?Wenye vijana wao waliosoma lakini hawana ajira?Vitu bei sokoni viko juu kuliko uwezo wako?Utamweleza mwananchi wa kijijini kwetu kuhusu hayo akuelewe?
 
Hakuna kingereza cha hivyo mkuu. Mi nina A ya o level na advance, english hivyo najua nachomaanish labda ka.a umeamua kubisha tu
Sawa nimekuelewa kipanga wa kiingereza. Hoja yako ni ipi kwenye mada ya leo?
 
Mapambano ya kudai haki bado yanaendelea , Ambapo leo Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria Mbovu za Uchaguzi , Yamefika Mkoani Singida , Yakianzia Singida Mjini

View attachment 2975153

Usiondoke JF kwa vile nitakuletea kila kitakachojiri
==========
Hali mbaya nani atawacha shamba lake na mvua hizi akadhururike tu!
 
Sawa nimekuelewa kipanga wa kiingereza. Hoja yako ni ipi kwenye mada ya leo?
Devaluation tanzania haipo ispokuw depreciation of currency. Ukiongea devaluation kwa wachumi kama sisi tutakushangaa sana na hapa ndo mwigulu nchemba huwa anachukulia point 3 muhimu mana watanzania wanaonge vitu wasivyovijua
 
Badala mpinge
1)Devaluation of local currency
2)Theoretic based curriculum in schools
3) Democratic rule (hii ilishindwa hata mbinguni)

Nyie mnapinga vitu simple simple ambavyo hata sio matatizo ya taifa. Tukipiga hatua kwa huu upinzani na serikali iliyopo madarakani nahama nchi naenda gaza
Mkuu ww andamana kumaliza hivyo ulivyoorodhesha hapa, sio utake wengine wadai unachotaka ww.
 
Ona huyu tahira !!!Unaweza kupinga hivyo kwenye nchi yenye Wananchi takribani 80% ni wakulima wasiojua chochote kuhusiana local currency?Wenye vijana wao waliosoma lakini hawana ajira?Vitu bei sokoni viko juu kuliko uwezo wako?Utamweleza mwananchi wa kijijini kwetu kuhusu hayo akuelewe?
Tahira mwenyewe.
Hao wakulima wanahitaji kuambiwa hayo wasiyoyajua ili wajue kuwa serikali ina uwezo wa kuyakabili na kubadilisha

Unaendaje kumwambia mkulima kuwa ana maisha magumu ukitegemea utaleta mwamko kwake wa kutaka mabadiliko ile hali anajua kuwa maisha ni magumu tangu na tangu?

Mimi nadhani mkulima anahitaji kusikia ni kwa namna gani anaweza kujikwamua kupitia hoja za msingi kama vile kuongeza matumizi ya teknolojia kwenye kilimo chake (na hili linawezekana kwa asilimia 100)

Unalazimisha watu wasio na ajira kuwaambia eti wao wanapaswa waajiriwe ile hali kichwani wana elimu ya makaratasi?
GLgLRmFWsAA_OWT.jpeg

Hii inakupa picha kuwa hizo kazi hata ukichukua watu wasio kuwa na hizo shahada na astashahada, wanaweza kufanya kazi na ndio kinacho endelea,wasomi wanapewa elimu ambazo hazina thamani katika kukabili mazingira yanayo wazunguka. Badilisha mtaala kwanza, wasomi waendane na mahitaji halisi ya jamii.

Bei sokoni kuwa juu,sulihisho lake sio kuishusha kwa matamko, ni kuongeza thamani ya pesa ya ndani, na kuboresha uzalishaji ili bidhaa ziwepo za kutosha na uchumi wa wafanya biashara ukue kupitia mauzo ya nje pia.

Naona una akili lakini umeamua kutoitumia vizuri
 
Tahira mwenyewe.
Hao wakulima wanahitaji kuambiwa hayo wasiyoyajua ili wajue kuwa serikali ina uwezo wa kuyakabili na kubadilisha?

Unaendaje kumwambia mkulima kuwa ana maisha magumu ukitegemea utaleta mwamko kwake wa kutaka mabadiliko ile hali anajua kuwa maisha ni magumu tangu na tangu?

Mimi nadhani mkulima anahitaji kusikia ni kwa namna gani anaweza kujikwamua kupitia hoja za msingi kama vile kuongeza matumizi ya teknolojia kwenye kilimo chake (na hili linawezekana kwa asilimia 100)

Unalazimisha watu wasio na ajira kuwaambia eti wao wanapaswa waajiriwe ile hali kichwani wana elimu ya makaratasi?View attachment 2975171
Hii inakupa picha kuwa hizo kazi hata ukichukua watu wasio kuwa na hizo shahada na astashahada, wanaweza kufanya kazi na ndio kinacho endelea,wasomi wanapewa elimu ambazo hazina thamani katika kukabili mazingira yanayo wazunguka. Badilisha mtaala kwanza, wasomi waendane na mahitaji halisi ya jamii.

Bei sokoni kuwa juu,sulihisho lake sio kuishusha kwa matamko, ni kuongeza thamani ya pesa ya ndani, na kuboresha uzalishaji ili bidhaa ziwepo za kutosha na uchumi wa wafanya biashara ukue kupitia mauzo ya nje pia.

Naona una akili lakini umeamua kutoitumia vizuri
Narudia wewe ni tahira!!Unaandika vitu kiutahira tahira!!.
Kwanza una level gani ya Elimu ?
Unajua chochote jinsi ya kujenga hoja kukiwa na shida kwenye jamii au jumuiya yoyote?
Unauhakika Mwanafunzi anaweza kuelewa Advanced Mathematics bila kusoma Basic Mathematics?
 
Elimu yangu ukiijua itakusaidia nini, wakati hiyo uliyo nayo naona imekuwekea matope kichwani badala ya maarifa?

Anyways, neno langu sio sheria. Wewe unayehisi lako linaweza kuwa sheria endelea kufumba macho huku miguu inatembea
 
Badala mpinge
1)Devaluation of local currency
2)Theoretic based curriculum in schools
3) Democratic rule (hii ilishindwa hata mbinguni)

Nyie mnapinga vitu simple simple ambavyo hata sio matatizo ya taifa. Tukipiga hatua kwa huu upinzani na serikali iliyopo madarakani nahama nchi naenda gaza
Fact, walioshika dora ni shida tupu na vichekesho,,,,na hawa wanaoitaka dora ndo uharo kabisaaaaaaaa..........thats why nimeacha kabisa hizi pigo za kusikiliza wanasiasa wa kibongo. wote ni WALEWALE
 
Umeandika uongo
 
Back
Top Bottom