Uamini, tembea uone!!Yaan haya mambo ya shule kuwa na walimu wawili na zahanati kuwa na mtumishi mmoja tena nesi yaan huwa siamin amini mpaka siku nitakapoona
@Lucas mwashambwa pita hukulile CHOKO LUCAS MWASHAMBWA huwezi kuliona kwenye nyuzi za maana kama hizi