MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Vifupi vitamuuuuuuu hivyoo.
Nakuunga mono mkuu kimo hakidetermine uwezo wa mtu katika kazi,maamuzi wala kutengeneza pesa ni personality aliyozaliwa nayo mtu ndo inamuongoza kufanya vizuri katika sekta zote hizo.Ha ha ha wangu ni mfupi japo si sana but she is a money maker (rich), CEO in our company, very sexy, smarter (upstairs and fashion icon), powerful (katika kuendesha mambo home na ofisini). I strongly opposed kuwa eti warefu ndo wako vile. Ninachojua kila mwanadamu ana strengths zake. I can't compare my wife with any other woman interms of qualities of the best wife ever!!! Huwa ninamuomba Mungu sana atuzeeshe pamoja na ikiwezekana tufe wakati mmoja!!! Msinishangae.
haaa yaani we unataka wife akuangalizie chini ya kidevu?sa ye atakudekeaje?coz mwanamke anadekea kifuani kwa mwanaume.mie bwana mwanamke lazima awe mrefu tena ikiwezekana akivaa heels anipite kiduchu yaani that gives me a sense ya kwanba she is the minister of internal affairs
Ha ha ha wangu ni mfupi japo si sana but she is a money maker (rich), CEO in our company, very sexy, smarter (upstairs and fashion icon), powerful (katika kuendesha mambo home na ofisini). I strongly opposed kuwa eti warefu ndo wako vile. Ninachojua kila mwanadamu ana strengths zake. I can't compare my wife with any other woman interms of qualities of the best wife ever!!! Huwa ninamuomba Mungu sana atuzeeshe pamoja na ikiwezekana tufe wakati mmoja!!! Msinishangae.
Mrefu anaanzia futi sitaHivi mimi ni mrefu au mfupi......?
Nikitaka kujua nimulize nani.......?
Mrefu anaanzia futi sita
Vitokololo ndo nini mkuu em funguka ndugu yangu.Mie napenda mwanamke smart.... Akiwa imbechili, hata awe na uzuri gani, hakuna tena mvuto
a smart woman is the best woman to be around you... She manages everything better than vitokololo
But you are smart.... Mie naitwa mbilikimoBasi mimi mfupi sana......nina 5'6".......
But you are smart.... Mie naitwa mbilikimo