Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,181
36,165
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

PROF. ISSA[1]_page-0001_1.jpg

Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi mbili tofauti. Yaani Part 1 (utangulizi), na Main body (Part 2).

Part 1: Tuwajue vijana wasio na Hoja au uthubutu wa kuhoji

1. Hawa ni wale wakijulikana almaarufu kama "chawa;" bila shaka na labda bila kutambua, akiwaita "nabii jiwe" kuwa ni vijana wa hovyo.

2. Vijana wa namna hii, wako kwa wingi zaidi CCM na CHADEMA kwa sasa, ambako mada hii itajikita ili kuweza kuwaangazia vilivyo.

3. Ajabu na kweli fungu hili ni la vijana wasomi kwa mbumbumbu; limesheheni zaidi wanaume wa Dar kuliko wanawake au wanaume wa mikoani kwa ujumla wao.

4. Wasomi kwa mbumbumbu; "chawa wasomi ni wa hovyo zaidi, wakijiongezea kale kakipaji kengine kao, "ka ujuaji:"

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote,' haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana, ila yale ya kwao tu. Kwamba 'elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;' havina maana yoyote kwao."

5. Kwamba, kwao uchawa ni ajira kama udaktari, uhandisi, ualimu nk; alimradi bora mkono uende kinywani.

6. Kwa mukthadha wa CCM, humo wamo:

i) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
ii) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.

Hapo ni makundi yao mawili, yaliyo kamili kazini!

7 (a) kwamba kwao Mama ni kama Mungu, malaika, mtakatifu, na vya namna hiyo; CCM kama chama: ilishushwa kutokea mbinguni!
(b) Kwamba Mama, lau CCM ni wakamilifu; wenye kustahiki sifa tu, siyo kukosolewa!
(c) Kulamba teuzi, shuruti mtu kuonyesha umahiri wake zaidi kwenye kuisifia CCM; na zaidi sana kumsifia vilivyo mzaliwa huyu kutokea Kizimkazi, pale!
(d) jaribio la mtu kuikosoa CCM na hasa kumkosoa mama, linatosha kukosa teuzi au kukupa tenguzi kama ni mteuliwa!

8. Kwa mukthadha wa Chadema; wanawakilisha:

a) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
b) Chawa wa CHADEMA: Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka!

8. (a) Kwamba mwamba ni Mungu, Ayatollah, Abuu Bakar, Messiah, malaika na vya namna hiyo; na kuwa Chadema imeshushwa kutoka mbinguni:
(b) Chadema au mwamba ni wakamilifu, hawakoselewi na mwamba ndiye mwenye neno la mwisho; "mnataka au hamtaki!"
(c) "Jaribio la kumkosoa mwamba ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi" -- Frederick Sumaye.

9. Kwa hakika, vijana hawa ni mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Part 2: Main Body, inafuata:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)
 
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

View attachment 2980411

Nimecheka sana hapo kifungu a)kumkosoa mwamba ni uhaini.umetisha kwakweiii!
 
This current generation is a result of all misfortunes and complacency of previous generations, including Shivji's which enforced poisonous Marxist ideologies at school curriculums turning our intellectuals into potential brain-dead zombies, who could have an unquestionable and unyielding loyalty The Party.​
 
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

View attachment 2980411

Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi mbili tofauti. Yaani Part 1 (utangulizi), na Main body (Part 2).

Part 1: Tuwajue vijana wasio na Hoja au uthubutu wa kuhoji

1. Hawa ni wale wakijulikana almaarufu kama "chawa;" bila shaka na labda bila kutambua, akiwaita "nabii jiwe" kuwa ni vijana wa hovyo.

2. Vijana wa namna hii, wako kwa wingi zaidi CCM na CHADEMA kwa sasa, ambako mada hii itajikita ili kuweza kuwaangazia vilivyo.

3. Ajabu na kweli fungu hili ni la vijana wasomi kwa mbumbumbu; limesheheni zaidi wanaume wa Dar kuliko wanawake au wanaume wa mikoani kwa ujumla wao.

4. Wasomi kwa mbumbumbu; "chawa wasomi ni wa hovyo zaidi, wakijiongezea kale kakipaji kengine kao, "ka ujuaji:"

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote,' haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana, ila yale ya kwao tu. Kwamba 'elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;' havina maana yoyote kwao."

5. Kwamba, kwao uchawa ni ajira kama udaktari, uhandisi, ualimu nk; alimradi bora mkono uende kinywani.

6. Kwa mukthadha wa CCM, humo wamo:

i) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
ii) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.

Hapo ni makundi yao mawili, yaliyo kamili kazini!

7 (a) kwamba kwao Mama ni kama Mungu, malaika, mtakatifu, na vya namna hiyo; CCM kama chama: ilishushwa kutokea mbinguni!
(b) Kwamba Mama, lau CCM ni wakamilifu; wenye kustahiki sifa tu, siyo kukosolewa!
(c) Kulamba teuzi, shuruti mtu kuonyesha umahiri wake zaidi kwenye kuisifia CCM; na zaidi sana kumsifia vilivyo mzaliwa huyu kutokea Kizimkazi, pale!
(d) jaribio la mtu kuikosoa CCM na hasa kumkosoa mama, linatosha kukosa teuzi au kukupa tenguzi kama ni mteuliwa!

8. Kwa mukthadha wa Chadema; wanawakilisha:

a) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
b) Chawa wa CHADEMA: Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka!

8. (a) Kwamba mwamba ni Mungu, Ayatollah, Abuu Bakar, Messiah, malaika na vya namna hiyo; na kuwa Chadema imeshushwa kutoka mbinguni:
(b) Chadema au mwamba ni wakamilifu, hawakoselewi na mwamba ndiye mwenye neno la mwisho; "mnataka au hamtaki!"
(c) "Jaribio la kumkosoa mwamba ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi" -- Frederick Sumaye.

9. Kwa hakika, vijana hawa ni mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Part 2: Main Body, inafuata:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)
Cc bwana Lucas
 
Nikweli ila Walio funga midomo wanakula batawewe unakula vumbi
 
1. Kwani misahafu haikuandikwa ni heri kula vumbi duniani, ila mbinguni?

2. Kwani Prof. Shivji mwenye hoja yake hapa kakukera mno wapi ndugu, hadi kumdhania anakula vumbi tu, ila wewe?

3. Au labda hukupenda kabisa nimnukuu hapa Kwa yaliyojiri SUA, Morogoro, huko? Kiasi cha kutaka kujiaminisha kijuaji juaji tu kuwa bila shaka nitakuwa nakula vumbi, ila wewe?

4. Au wewe ni katika wale akiwaangazia Kwa macho makavu hata kama kumhusu BEN wangali bado tu hawajasema?

5. Na kama hapo #4 ndivyo, labda ingependeza zaidi ukijitambulisha uchawa wako kabisa tumfikishie ili asiwe anakukera sana ki hivyo, mwisho ukapaliwa ndugu?
 
This current is a result of all misfortunes and complacency of previous generations, including Shivji's which enforced poisonous Marxist ideologies at school curriculums turning our intellectuals into potential brain-dead zombies, who could have unquestionable and unyielding loyalty The Party.​

1. Sikubaliani nawe vinginevyo hata miaka 1990, mfumo wa vyama mingi usinge rejelewa.

2. Nyerere, Mkapa na hata Kikwette walikuwa na heshima kubwa na UDSM.

3. Yamo Mengi kuhusu mchango ya UDSM nje ya miongo 2 iliyopita nchini hapa:

a) Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

b) Ule Moto wa nyika wa migomo Marekani, wapindukia Canada!

4. Wakati Mwinyi akiwachukia kumtukana kama ilivyo hoja kwa wasio na hoja; Nyerere, Mkapa na hata Kikwette waliheshimu nguvu za hoja kutokea vyuoni.

5. Anachosema nguli huyu ni wapi tulipoangukia kiasi hadi Leo, hata kutoa tamko tu kutokea pale UDSM la kuwaunga mkono mtu Gaza credibly haiwezekani?!

6. Kuwa badala ya hoja, Leo hii Kila jambo limekuwa kama issue ya Simba na Yanga yaani ushabiki kwa kwenda mbele?!
 
Chadema kuna chawa pia?
Wananufaika na nini ?

1. Mkuu uko sahihi:

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg

2. Unadhani wafu wanajua kama wamekufa? au wajinga? Au chawa?!

3. Hapo #2 unadhani @lucas_mwashambwa, johnthebaptist au wale wengine wale upande mwingine wanajua kuwa ni chawa?

4. Kamanda wako Lissu anajua Chadema chawa wapo sembuse wewe ndugu?

a) Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

5. Au labda kama ukimaanisha hamlipwi au kama huna taarifa wengine wanachukua chao mapema?!

6. Au ukimaanisha ni wanajitolea?

7. Bila kusahau kuwa nyuzi mbili za ngongeza hizi zinakakunyooshewa kidole humo kwenye maji ga nyanja!

a) Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

b) Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

8. Hapo #7, yawezekana ukawa wadhani uko huku hujijui tu. Zitembelee ukipenda Ili kujiridhisha.
 
1. Sikubaliani nawe vinginevyo hata miaka 1990, mfumo wa vyama mingi usinge rejelewa.

2. Nyerere, Mkapa na hata Kikwette walikuwa na heshima kubwa na UDSM.

3. Yamo Mengi kuhusu mchango ya UDSM nje ya miongo 2 iliyopita nchini hapa:

a) Marekani: Migomo kwa Palestina yasambaa kama moto wa nyika!

b) Ule Moto wa nyika wa migomo Marekani, wapindukia Canada!

4. Wakati Mwinyi akiwachukia kumtukana kama ilivyo hoja kwa wasio na hoja; Nyerere, Mkapa na hata Kikwette waliheshimu nguvu za hoja kutokea vyuoni.

5. Anachosema nguli huyu ni wapi tulipoangukia kiasi hadi Leo, hata kutoa tamko tu kutokea pale UDSM la kuwaunga mkono mtu Gaza credibly haiwezekani?!

6. Kuwa badala ya hoja, Leo hii Kila jambo limekuwa kama issue ya Simba na Yanga yaani ushabiki kwa kwenda mbele?!
Wewe jamaa unaanza kuzingua sasa!

Ni hoja zipi kutoka vyuo vikuu ambazo Nyerere, Mkapa na Jakaya waliwahi kuziheshimu ?

Hebu wacha masikhara mzee.​
 
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

View attachment 2980411

Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi mbili tofauti. Yaani Part 1 (utangulizi), na Main body (Part 2).

Part 1: Tuwajue vijana wasio na Hoja au uthubutu wa kuhoji

1. Hawa ni wale wakijulikana almaarufu kama "chawa;" bila shaka na labda bila kutambua, akiwaita "nabii jiwe" kuwa ni vijana wa hovyo.

2. Vijana wa namna hii, wako kwa wingi zaidi CCM na CHADEMA kwa sasa, ambako mada hii itajikita ili kuweza kuwaangazia vilivyo.

3. Ajabu na kweli fungu hili ni la vijana wasomi kwa mbumbumbu; limesheheni zaidi wanaume wa Dar kuliko wanawake au wanaume wa mikoani kwa ujumla wao.

4. Wasomi kwa mbumbumbu; "chawa wasomi ni wa hovyo zaidi, wakijiongezea kale kakipaji kengine kao, "ka ujuaji:"

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote,' haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana, ila yale ya kwao tu. Kwamba 'elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;' havina maana yoyote kwao."

5. Kwamba, kwao uchawa ni ajira kama udaktari, uhandisi, ualimu nk; alimradi bora mkono uende kinywani.

6. Kwa mukthadha wa CCM, humo wamo:

i) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
ii) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.

Hapo ni makundi yao mawili, yaliyo kamili kazini!

7 (a) kwamba kwao Mama ni kama Mungu, malaika, mtakatifu, na vya namna hiyo; CCM kama chama: ilishushwa kutokea mbinguni!
(b) Kwamba Mama, lau CCM ni wakamilifu; wenye kustahiki sifa tu, siyo kukosolewa!
(c) Kulamba teuzi, shuruti mtu kuonyesha umahiri wake zaidi kwenye kuisifia CCM; na zaidi sana kumsifia vilivyo mzaliwa huyu kutokea Kizimkazi, pale!
(d) jaribio la mtu kuikosoa CCM na hasa kumkosoa mama, linatosha kukosa teuzi au kukupa tenguzi kama ni mteuliwa!

8. Kwa mukthadha wa Chadema; wanawakilisha:

a) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
b) Chawa wa CHADEMA: Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka!

8. (a) Kwamba mwamba ni Mungu, Ayatollah, Abuu Bakar, Messiah, malaika na vya namna hiyo; na kuwa Chadema imeshushwa kutoka mbinguni:
(b) Chadema au mwamba ni wakamilifu, hawakoselewi na mwamba ndiye mwenye neno la mwisho; "mnataka au hamtaki!"
(c) "Jaribio la kumkosoa mwamba ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi" -- Frederick Sumaye.

9. Kwa hakika, vijana hawa ni mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Part 2: Main Body, inafuata:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)
Ogopa sana mtu anayefanya kazi kumridhisha bwana wake pasipokujali jamii pana inayomzunguka...Haijalishi kama ni msomi au mbumbumbu, mtu wa hivyo ni hatari kuliko bomu la petrol; Hawa ndiyo walioleta madhara makubwa zaidi enzi za mwenda zake na Kwa sasa wote ndiyo wanampaka mafuta HE Kwa mgongo wa chupa as if wao ndiyo loyal kwake...

As for me nikishakugundua wewe ni wa jinsi hiyo huwa na chora mstari wa kutochangamana na mtu wa hivyo...
 
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

View attachment 2980411

Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi mbili tofauti. Yaani Part 1 (utangulizi), na Main body (Part 2).

Part 1: Tuwajue vijana wasio na Hoja au uthubutu wa kuhoji

1. Hawa ni wale wakijulikana almaarufu kama "chawa;" bila shaka na labda bila kutambua, akiwaita "nabii jiwe" kuwa ni vijana wa hovyo.

2. Vijana wa namna hii, wako kwa wingi zaidi CCM na CHADEMA kwa sasa, ambako mada hii itajikita ili kuweza kuwaangazia vilivyo.

3. Ajabu na kweli fungu hili ni la vijana wasomi kwa mbumbumbu; limesheheni zaidi wanaume wa Dar kuliko wanawake au wanaume wa mikoani kwa ujumla wao.

4. Wasomi kwa mbumbumbu; "chawa wasomi ni wa hovyo zaidi, wakijiongezea kale kakipaji kengine kao, "ka ujuaji:"

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote,' haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana, ila yale ya kwao tu. Kwamba 'elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;' havina maana yoyote kwao."

5. Kwamba, kwao uchawa ni ajira kama udaktari, uhandisi, ualimu nk; alimradi bora mkono uende kinywani.

6. Kwa mukthadha wa CCM, humo wamo:

i) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
ii) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.

Hapo ni makundi yao mawili, yaliyo kamili kazini!

7 (a) kwamba kwao Mama ni kama Mungu, malaika, mtakatifu, na vya namna hiyo; CCM kama chama: ilishushwa kutokea mbinguni!
(b) Kwamba Mama, lau CCM ni wakamilifu; wenye kustahiki sifa tu, siyo kukosolewa!
(c) Kulamba teuzi, shuruti mtu kuonyesha umahiri wake zaidi kwenye kuisifia CCM; na zaidi sana kumsifia vilivyo mzaliwa huyu kutokea Kizimkazi, pale!
(d) jaribio la mtu kuikosoa CCM na hasa kumkosoa mama, linatosha kukosa teuzi au kukupa tenguzi kama ni mteuliwa!

8. Kwa mukthadha wa Chadema; wanawakilisha:

a) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
b) Chawa wa CHADEMA: Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka!

8. (a) Kwamba mwamba ni Mungu, Ayatollah, Abuu Bakar, Messiah, malaika na vya namna hiyo; na kuwa Chadema imeshushwa kutoka mbinguni:
(b) Chadema au mwamba ni wakamilifu, hawakoselewi na mwamba ndiye mwenye neno la mwisho; "mnataka au hamtaki!"
(c) "Jaribio la kumkosoa mwamba ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi" -- Frederick Sumaye.

9. Kwa hakika, vijana hawa ni mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Part 2: Main Body, inafuata:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)
Tuna vijana wapumbavu mfano Lucas Mwashambwa kipara kipya bila akili ni Sawa tako n.k ..hawa wanajitahidi kusifia ili walambe teuzi bahati mbaya babu zawo walikufa na gundi kiunoni
 
Wewe jamaa unaanza kuzingua sasa!

Ni hoja zipi kutoka vyuo vikuu ambazo Nyerere, Mkapa na Jakaya waliwahi kuziheshimu ?

Hebu wacha masikhara mzee.​
Angalau walikuwa wanathamini mijadala na hata kama hawakutimiza yote Bali angalau kuliko ilivyo Kwa sasa...Tatizo lilianzia pale JPM alipoweka watu wake vyuo vikuu, Hawa jamaa wamevuruga mpangilio mzima wa vyuo vikuu na kusababisha majungu na makundi ya hovyo ambayo hayajawahi kutokea kwenye academics, wame set precedence ambayo itachukua miaka mingi kurekebishika, wameuwa mijadala Kwa intimidation na censoring ya individuals....Wengi wao ni Wazuri sana wakiji present kama vile wapo humble mbele ya politicians lakini wakigeuka upande wa pili they listen nobody bali Wana act smart yet wana victimize Kila ambaye ana different opinion hata kama ni yakujenga...
 
Back
Top Bottom