Shakira amevunja rekodi ya marafiki...

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,430
2,282
Mwimbaji Shakira ameingia kwenye rekodi ya Dunia ya kuwa na marafiki/fans wengi zaidi katika Facebook, kuliko mtu yoyote hapa duniani. Jana aliweka rekodi hiyo kwa kufikisha fans milioni 100!
 
Back
Top Bottom