Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
912
4,249
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule?

Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Acha waanzishe UJINGA na UPUMBAVU umetuzidi....
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Zinaongezwa sio kwamba zinaanzishwa kwa sababu zipo kwa zaidi ya miaka 20. Kigezo hizi Medium school za serikali zinatoza ada kidogo ya uendeshaji tofauti na private schools.
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Zipo mbona? Kama sikosei Kuna shule pale upanga niya serikali na ni english medea
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Jazijaanza leonhizo.

Nafahamu Dar shule ya Olympio ina English Medium ilianzishwa miaka mingi iliyopita na ni ya serikali.
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Wacha zianzishwe tu.
Tumechelewa sana
 
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule? Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine ? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo tofauti ya utoaji elimu kama inayokusudiwa na Tanzania?
Ni ujinga kuzania English Medium school ndio itaokoa elimu ya Tanzania, hizi ni Idea za nchi ambayo watu wamefikia tamayi kwenye thinking capacity
 
🤔🤔🙄📝
 
Shida yako ni nini mkuu ..
Mmeziponda private sasa mnaamia za serikali...

Utakufa na kibiongo mkuu..
 
Shule za kuongezea chawaaaaaa ,hawa waliopo wanakaa chini yaani utajenga hadi lini ,wenzetu wanamiaka 300 shule zilezile na Elimu Yao inawakomboa
 
mmeachelewa nini? hizo zilizopo zimeleta mapinduzu gani ya elimu? Taifa limejaaa sana wajinga, mtu kama wewe ni useless tu
Ni ujinga kuzania English Medium school ndio itaokoa elimu ya Tanzania, hizi ni Idea za nchi ambayo watu wamefikia tamayi kwenye thinking capacity
Takataka...
Kenge wahed!
Kiswahili chenyewe hujui.
Kuzania ndiyo kitu gani?
 
Tunahitaji na za mandalini medium na za Russia medium...ili kufanya Taifa la kufika popote!!
 
Back
Top Bottom