Serikali ingekuwa mmliki wa real estate nyingi ili kupunguza ujenzi wa ovyo na unafuu wa kodi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,759
9,038
Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga.

Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama nyumba za watu binafsi maana ni garama kuliko za watu binafsi kulingana na mlolongo wa kuipata.

real estate kama serikali ingetengeza nyingi ingesaida kuwaongezea mapato makubwa mfano ya pesa kulingana na idadi ya wanaojitafuta na wageni.

Real estate iliyotumika urafiki na jinsi iliyo pangiliwa ndio ilikuwa plan nzuri sana ya kupendezesha mji na miundo mbinu kuwa rahisi.

kama tukiacha serikali watu wajiamulie kujenga bila kutumia mfumo real estate kuna siku tutashindwa kutofautisha mbagara na sinza.

real estate inaweza kuwa msaada mzuri wa mipangilio ya miji na majiji
 
Real estate ndio nini?
 
Back
Top Bottom