Uchunguzi wa kina unaonyesha ya kwamba asilimia 70% ya bidhaa zinazoingia Tanzania ni feki na zinazotokana na unyanganyi [piracy] hasa kutokea China. Na hiihipo kuanzia kwenye Maziwa unayokunywa na familia yako, video unavyoangalia na kufurahia na familia yako, madawa
unayokunywa na familia yako, vyakula unavyokula na familia yako na simu unayotumia kuwasiliana na familia yako, vipuri vya magari unayoendesha kutaja machache. Gazeti moja la nje ya TZ toleo la mwezi wa nne linasema kwamba Kariakoo ndiyo kitovu cha wauzaji wa hizo bidhaa feki.
Tumekuwa tukishuhudia nyumba kuungua moto na tunalaumu kikosi cha zimamoto na gizo fire engines lakini kitovu kipo katika uuzaji wa nyaya feki . Mwananchi wa kawada kwa sasa hana amani anapoenda kununua manunuzi yake hapo Tanzania na tena isha kuwa utamaduni wa kuambiwa na wauzaji kwamba ukitaka feki bei yake ni kiasi kadhaa na ukitaka mlupo bei yake ni chini mara nne.
Swali langu kwa serkali imeshindwaje kuwakomboa raia wake kutokana na kuingia na kuuzwa tena waziwazi kwa hizi bidhaa feki? Je, serkali imebinafsisha kazi za kusimamia bidhaa zinazoingia Tanzania? Kama jibu ni hasi , basi kwa nini zimejaa madukani kariakoo na kwingineko? Vyombo vya dola na adhabu inayotolewa ni ndogo sana kulinganisha na faida hawa wanyanganyi wanayopata.
Pendekezo: Serikali IBADILISHE NA KUWEKA sheria zenye adhabu kali tena si faini peke yake bali na kifungo kabisa kwa wasambazaji, wauzaji, na wanaopitisha hizi bidhaa feki hili kupunguza na kuzuia lindi hili la bidhaa feki. Pili, mwananchi inabidi nasi tubadilike na kuzikwepa kama ukoma hizi bidhaa feki kwani ni upotezaji wa fedha zako ulizozitolea jasho na pia ni kuatarisha usalama wako na wa familia yako.