Series: Maisha na Muziki

Kuanzia hiv sasa nimetengua ajira zote zilizotangulia kabla. Tutaanza kuajiri upya kuanzia kesho. Tutateua muhasib na hakimu. Na wabunge watatangazwa kesho hiyohiyo. Na wao pia mchakato wao utaanza upya.
 
Ili uhesabike umeajiriwa ni lazima nikupige picha mimi mwenyewe au nikikutaka unitumie picha. Kinyume na hivyo we bado hujaajiriwa na sikutambui.
 
Kuhusu wakubwa na wadogo kuanzia kesho mtaanza kuomba ajira upya kwang mimi. Njo na karatasi iliyoandikwa taarifa zako kamil. utaandika majina yako yote matatu. Mwaka ulozaliwa. Kazi unayofanya hiv sasa au taaluma ulobobea. Baada ya hapo utaweka namba ya simu ya kawaida na utanipa ya wasap. Na mwisho utaandika kama ni mkubwa au mdogo.
 
Baada ya kunipa taarifa hizo nikikupiga picha au nikakutumia meseji unitumie picha. Hapo utakua umeajiriwa. Na ntakuunganisha kwenye group la wasap.
 
Ajira haziishii kesho tu ni zoez endelevu. Ila ukiwahi unakua umejiwekea mazingira mazuri
 
Wahasibu wanatakiwa haraka mno kuliko kada nyingine yeyote. Wanatakiwa 20.
 
Uchaguzi umekwisha salama na washindi wamepatikana. Tumepata waheshimiwa wabunge wapya. Pia nimeteua maafisa wengine watakaonisaidia katika shughuli mbalimbali. Sambamba na hilo nimeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wapya watakaoniasaidia maeneo mbalimbali ya kiutawala.
 
Hivyo basi natangaza rasmi uzinduzi wa shirika hili jipya linaloitwa BIRDS MUSIC CORPORATION (BMC). Hili ni shirika lililojikita katika uzalishaji wa kazi za muziki. Tutakua na wasanii wakubwa wenye majina na tutakua na wasanii wadogo wanaochipukia.
 
Lengo hasa ni kuwawezesha vijana kufikia malengo yao na kutimiza ndoto zao. Hivyo shirika linahitaji fedha kwa ajili ya shughuli zake za kila siku na kuweza kulipa posho pamoja na mishahara. Fedha zote zitumwe kwenye akaunti namba 20310100546.
 
Nakala ngumu (hard copy) tutawaziwasilisha katika ofisi yako ndani ya juma hili tunaloanza nalo tukiambanisha picha na vyote vinavyotakiwa. Vijana wameanza kufanya kazi kuanzia muda huu.
 
Katika sekta ya afya nimeajiri madaktari 50 kati ya hao 10 ni mabingwa (specialists). Na pia nimeajiri wauguzi 30. Kesho asubuh ntakuja kuonana na meneja wenu.
 
Nimeajiri askari wa jeshi wa wananchi 60 kutoka kambi ya ABDALA TWALIPO. Kati ya hao 2 ni brigedia. Makanali 4 na maluteni kanali 4. Mameja 5. Makapten 5. Maluten 10. Rsm 2 senior na junior. Staff sajent 8. Na waliobakia ni makoplo 20. Nitakuj hapo jumanne asubuh.
 
Kwa upande wa jeshi la polisi nimeajiri askari 40. Kutakua na (CP) 1. (ACP 1). (S.P) 1. (ASP) 1. (I.P) 6. (A.I.P) 10. (R.S.M) 4. Staff sergent 6. Sergent 4 na corproal 6. Nitakuja kituo cha pangan jumatano sa 10 jion nikutane na meneja wenu
 
Kwa upande wa elimu nimeajiri walimu 300. 200 ngaz ya shule ya msingi na 100 ngaz ya sekondari. Walimu wagawanywe sawa kutegemea na idadi ya shule. Walimu wakuu ni nafasi ya lazima katika kila shule. Mgawanyo pia uzingatie masomo. Walimu wa shule ya msingi meneja wenu ntakutana nae shule ya Habib punja siku ya alhamis sa 4 na wa sekondar ntakutana nae shule ya kasulu sa 5 asubuh
 
Nimeajiri watu wa Informtion technology 40 kutoka Dar es salaam institute of technology (DIT).
 
Nimeajiri wahandisi wa barabara 20. Wahandisi wa majengo 10. Wasanifu majengo 10. Maafisa mazingira 8 na maafisa michezo 2.
 
Hawa wakarandas wa mwendokasi kipande cha Amana hospital mpaka boma wameenda likizo? Mana yapata mwez wa pili sasa hawapo kazini.
 
Jaman watu wa burudan ya muziki mnivumilie. Channel ya muziki ipo kwenye cm nyingine na hii simu nayotumia sio ya kwangu. Mpaka mambo yakikaa sawa tutarud hewan kama kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom