Self love ndio nini?

Haya jamani,

Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.

Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Kujipenda mwenyewe na kuishi kwa furaha badala ya kujitolea kuwapenda wengine na kuyakataa Mambo ambayo hayawezi kukusaidia
 
Ni usenge wa kizungu tu, unaohamasisha kutojali wengine na kukomoana yaani ubinafsi.
Biblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako
Sa kama we hujajipenda jirani utampendaje bro?
Sioni uzungu wowote kwenye self love naona ni biblical
 
Back
Top Bottom