Salamu za pongezi kwa Ally Happy

Nov 6, 2016
72
185
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA.

Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa,

Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam, naiona fursa kubwa ya ushindi wa CCM pamoja na ustawi wa Jamii.

Jumuiya ya Wazazi ndio jumuiya iliyobeba dhima yote kuhusu maisha,

MALENGO YA JUMUIYA YA WAZAZI.

1. Malezi
2. Elimu
3. Afya
4. Mazingira.

Ukitazama dhima ya Jumuiya ya wazazi utagundua ndio iliyobeba ustawi wa binadamu na Maisha.

Niwe mchache wa mambo kwa kutamka waziwazi sifa za Ally Happy

1. Mchapakazi
2. Mbunifu
3. Mjasilia mali
4. Mwenye hofu ya Mungu
5. Mvumilivu
6. Mwerevu

MAKALA ZIJAZO NITAELEZEA NAMNA ALLY HAPPY ATAKAVYOSAIDIA JUMUIYA NA KUKIPAISHA ZAIDI CHAMA CHA MAPINDUZI.

OFA ZA VITABU BADO INAENDELEA.

Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dae es Salaam

IMG-20240411-WA0092.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom