Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

Nov 6, 2016
56
185
JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA.

Na Comrade Ally Maftah

Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa Jumuiya ya Wazazi Dar es Salaam.

Nimekunwa sana na Mr UK ( Profil Masawe ) Rafiki yangu. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kinondoni.

Ameleta hamasa kubwa ya kuinuana kiuchumi, moja ya sifa kubwa ya Rafiki yangu Mpole na Mchumi mwenzangu huyu ni ile hamasa ya kuziona fursa, nikukumbushe tu wewe unayenitazama kwa mbali mimi ni msomi mzuri tu nimeusoma uchumi vizuri sana Shule ya Uchumi Umbwe Secondary, amapo mtu kama Basir Pesa Mbili Mramba alipita pale na nililala kwenye kitanda alichokuwa akilala Dom 4, na nikajiunga na EGM Karatu Boys Arusha na nikachapa B ya Economics, baada ya hapo nikajiunga UDOM ikiwa ni ingizo la tatu pale 2009, nikachukua Shahada ya Mipango ya Uchumi na Maendeleo na mwanaume sikuwai kuiona SAP, bisha niweke Vyeti.

Mr Profil Masawe ameibua jambo la kuigwa, KIWANDA CHA MIKATE KATA YA MZIMUNI.

SIJUI NISEMAJE, WANAUME TUMEPATA KAZI, MIKATE IPO.

SIFA KWA RAFIKI YANGU PROFIL MASAWE - MR UK.

MIKATE YA KUMWAGA.

Ndimi Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Mjumbe Mkoa CCM na Wazazi - Mkoa wa Dar Es Salaam
 
Attachments

  • IMG-20240502-WA0122.jpg
    IMG-20240502-WA0122.jpg
    28.6 KB · Views: 1

Kwani Tarimba kawaambia hagombei tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom