YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,934
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona dawa yao ni kuwaondoa uraiani na kuwapeleka jeshini ambako midomo yao itazibwa .Kule ni kusema Yes Putin hakuna cha No.
Na pia kutaenda kuwapunguza idadi yao kwa risasi na makombora ya Ukraine
Kifupi anawapeleka machinjoni sababu hawana uzoefu wa vita wakachinjwe huko