Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ..
Tatizo kuna muda unapiga mi nipo na aunt...
Wee unataka uniharibie sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au utaki tufaidi mapesa ya mshangazi huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
unaposema aunt unauhakika ni mwembamba mweupe,au unakurupuka tu!?πŸ˜‚πŸ˜‚ mshangaz n mnene mweusi
 
Yani hiyo setting ya ringtone niliwah kugusa maramoja tangu nitumie hii simu
Wee unachojua ni mapishi tu hayo mengine watajua watengeneza simu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
unaposema aunt unauhakika ni mwembamba mweupe,au unakurupuka tu!?πŸ˜‚πŸ˜‚ mshangaz n mnene mweusi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa sasa sichagui wala sibagui ...
Nisije nikakupoteza bure..
Mwembamba mweupe sawa
Mwembamba mweusi mashallah
Mwembamba maji ya kunde ooooh
Mwembamba maji ya chai ewaah
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa sasa sichagui wala sibagui ...
Nisije nikakupoteza bure..
Mwembamba mweupe sawa
Mwembamba mweusi mashallah
Mwembamba maji ya kunde ooooh
Mwembamba maji ya chai ewaah
Mxiuuu ebu tokaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mxiuuu ebu tokaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Nini sasa..
Usinifanyie hivo basi kila kitu unaelewa mi kwa hawa mashangazi nafata nini. Ila moyo unajua upo wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui naonaje nikiona mtu simu yake inaimba mziki badala ya ringtoneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnisamehe woooteee mlioweka mlio ila binafsi naonaga kama ukulima hiviπŸ˜‡
 
Back
Top Bottom