Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,161
- 13,987
Wewe ni tajiri au masikini?
Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri.
Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri.
We ni tajiri
Kwani tunajichukulia sheria mkononi mpaka tupake futa?? Anyway, tuwekee mkono wako hapaMsisahau kupaka mafuta hivyo viganja kabla mtupostie
Tayarihiyo hapo
Jf kuna mambo aisee!! Leo umekua kaka??Achaneni na hii mambo, mtatuchumisha dhambi bure tu.....acheni kujipost kaka enu nawaomba
Amna ndugu yangu bado najitafutaWe ni tajiri
Sina cha kuwekaKwani tunajichukulia sheria mkononi mpaka tupake futa?? Anyway, tuwekee mkono wako hapa
Weka hata kidole basi mremboSina cha kuweka
Pua.Naanza mimiView attachment 2975952
🤣😂Achaneni na hii mambo, mtatuchumisha dhambi bure tu.....acheni kujipost kaka enu nawaomba