Coarse Gani zitapewa kipaumbele kwenye kutoa mikopo?Degree bata tuuuuuu , karibu
Umeona kuna civil,mechanical,electrical au CO ???Coarse Gani yenye watu wengi kuliko education and teaching?
wewe ndie usome vizuri nioneshe wapi nimekosea???Soma vizuri mkuu
Duuh ngoja tuone mwisho wakeWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA
WA MASOMO 2023/2024
MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO.
Vigezo ni vigumu sana kutoboaWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA
WA MASOMO 2023/2024
Narudia tena soma vizuri.wewe ndie usome vizuri nioneshe wapi nimekosea???
Wamesema umri usizid miaka 27 then hapo hapo wanasema ten wanataka uwe umemaliza CSEE au ACSEE 2019 na kuendelea ....vipi aliyemaliza 2018,2017 na umri wake ajazid 27?
Au nani unadhani mwanafunzi gani awe kamaliza 2019 tufanye hawa wakubwa wa ACSEE amevuka 27??
Kafie mbele.Narudia tena soma vizuri.
Toa ushauri wako wa nini kifanyike, by point sio general,Hata watoe mikopo kwa secondary, bado hamna tija yoyote, katika kuokoa elimu yetu.
Wanapaswa kuangalia Nchi kama nchi ina kwama wapi kwenye mfumo mzima wa elimu.
Na akizaa hatanyonyeshaduh! ng'ombe wa maskini hazai.