Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,180
- 20,652
400,000/- ni once to go, ukishalipa hulipi tena na ilikuwa ni kufuta lile deni la BENKI MOJA iliyoikopesha TLS bilioni 2 alafu baada ya miaka 4 TLS ilipe bilioni 6.Hiyo 400,000 ya LAAC kulipa kwa LAZIMA kila wakili ilisababisha mawakili wengi kuacha kupractice. Mchango huo ulijaa SURA YA WIZI mtupu. Kuna watu pale TLS ni wezi wakubwa na hawataki kutoka. Ni ving'ang'azi kama KUNGUNI. Why? Kwa sababu kuna ULAJI MKUBWA SANA WA MICHANGO YA WANACHAMA. Ni afadhari chama cha walimu(CWT) kuliko TLS.
Sasa , hawa mawakili wapya lazma wachange 200,000/- ambapo tunaambiwa zinaenda kuboresha jengo, ukiangalia kila uapisho wanaapishwa mawakili 400- kwa mwaka ni mawakili 800, swali , Je, 800 zidisha kwa 200,000/- utapata jibu kwa mwaka hizo fedha zinakwenda wapi?