kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,295
- 8,627
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu
Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue wapinzani hawaonagi jema.
Lisu sasa anademand utoe kauli ya kumkaribisha nyumbani na kwamba atakuwa salama, ni kama anakuamuru vile
Mbowe iko siku atasimama jukwaani na kukutukana live
Stay tuned hutaamini kama ni wao. Ule msemo wa shukrani ya punda unatimizwa vizuri na hao jamaa