..kwa sasa hivi Serikali inatakiwa IKANUSHE hiki tulichosikia ktk Filamu.

..Dr.Abbas, Gerson Msigwa, Zuhura Yunus, hawakutimiza wajibu wao ktk hili.

..haijalishi kama Jpm alikufa kwa covid au la, video ya namna hii haikutakiwa ionekane na hilo ni jukumu la hao watatu hapo juu.
Lakini mbona hajasema alikufa kwa Covid, amesema contracted.
 
Covid waliipata watu wengi tu kwa hiyo siyo ajabu kuwa naye aliipata.
Ila kuhusu kile kilichomuua, sisi tunakwenda na kile ambacho madaktari walisema kimemuua

..covid huwa inapiga pale kwenye udhaifu.

..kama una kisukari basi inakuondoa kwa kisukari.

..kama ni mapigo ya moyo itakuondoa kwa tatizo hilo.

..kwa hii tabia na mtizamo[unyanyapaji] wetu kuhusu Covid tutasababisha watu wasitafute msaada pale wanapoambukizwa Covid.
 
Ila Covid-19 ilikula vichwa aisee ndani ya mwezi tu vichwa kadhaa ikulu vilianguka
 
Mlinzi ana weledi wa kuthibitisha kifo? Siyo daktari?!
Ndio maana nilisema akili zenu zipo level ya chini sana. Mlinzi wa Rais sio sawa na mlinzi wa geti, tambua hili. Ni watu wa usalama wenye mafunzo, ndio wanaoweza kumlinda Rais popote. Kwa kifupi ndio wanajua maisha yote ya Rais. Hata akipatwa na tatizo ndio wenye kusimamia mpaka aweze kurejea katika hali ya kawaida. Daktari ni mtu wa pili. Ila Daktari anaweza kuwa feki pia. Daktari anayemtibu Rais anasimamiwa na mlinzi.
 
Ni wazi tu phase ya kwanza mwaka 2020 alikimbia kijijini kwao.

Ya pili alijitahidi akabidi arudi mjini.

Tukatae au tukubali negligence yake kuhusu huu ugonjwa ilicost watu sana .

Yeye anawambia watu wachape kazi huku yeye akakimbilia kijinini mwezi March hadi May 2020
 
..kwa sasa hivi Serikali inatakiwa IKANUSHE hiki tulichosikia ktk Filamu.

..Dr.Abbas, Gerson Msigwa, Zuhura Yunus, hawakutimiza wajibu wao ktk hili.

..haijalishi kama Jpm alikufa kwa covid au la, video ya namna hii haikutakiwa ionekane na hilo ni jukumu la hao watatu hapo juu.
Hicho ulichokisikia kimerekodiwa, kikahakikiwa ndipo ikatoka public. Kukanusha hilo ni kupingana na Amiri jeshi aliyezungumza.
 
Hicho ulichokisikia kimerekodiwa, kikahakikiwa ndipo ikatoka public. Kukanusha hilo ni kupingana na Amiri jeshi aliyezungumza.

..kilitakiwa kihakikiwe ile kisitoke public, na huo ni wajibu wa Dr.Abbas, Msigwa, na Zuhura Yunus.

..suala la Jpm kuambukizwa Covid lilitakiwa libakie kuwa SIRI ya wakubwa huko serikalini.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Daaaaah Tulipigwa. Hii haina Tofauti na Kifo cha Gaddafi. Mama Wameshamteka
 
Sijaelewa Royal Tour na issue ya Covid vs Magufuli yanaingiaje? Na huyu Mzee anajuaje Magu alipata Corona?

Angalizo: Mzungu anasema he contracted Corona lakini hasemi he died of it
 
Back
Top Bottom