Rais Samia alihudhuria mkutano muhimu wa IDA taasisi ya Benki ya Dunia uliohudhiriwa na Wakuu wa nchi 17 za Africa nchini Kenya

Nami naendelea kutoa taarifa maadui wa taifa ni WALIMU,POLISI,WASOMI,VIONGOZI WA DINI, VYOMBO VYA HABARI
 
Nilimuona Mheshimiwa Rais na nyuma yake aliketi Mwigulu.Hotuba ya Mseveni ilisheheni vilivyo na ilikuwa na mafunzo makubwa kwa wachumi wetu.Natamani maneno ya Mseveni yalimuingia vilivyo Mwigulu na alielewa ili angalau anaweza fanya kitu!
 
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya

Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa

Credit: Mkuu Bagamoyo wa JF akiwa International Forum
Hahahahah .....labor day is world day, ilikuwaje hiyo IDA ipange kikao hiyo siku?! Konakona tu hizi. Tupe list ya nchi iliyoshiriki hiyo kikao tuone, zote ni zile zenye konakona.
 
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya

Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa

Credit: Mkuu Bagamoyo wa JF akiwa International Forum
Kwa hesabu za haraka haraka hao wakuu 16 wengine pia hawakuhudhuria mei mosi!
 
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya

Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa

Credit: Mkuu Bagamoyo wa JF akiwa International Forum
EeenHeeee! Kawakimbia wafanya kazi kiaina.

Umesikia hotuba yake lakini kwenye mkutano huo? Ni vimanenoneno tu kama kawaida; tofauti kabisa na vigogo walioiva kama akina M7, aliyewapa kavu kavu hao wanaojiita 'partners' wa maendeleo huku wakielekeza pesa zao kusikokuwa kwenye vipaumbele vyetu.

Kwani mkutano huo alitakiwa akae huko huko siku zote na kukimbia nchi; mbona Ruto, mwenyeji wa mkutano kashughulikia maswala muhimu ya nchi yake wakati huo huo wa mkutano!

Tuna hasara sana na uongozi huu.
 
Ni kuwapa tu taarifa kwamba Rais Samia alihudhuria kikao muhimu Cha IDA taasisi ya World Bank nchini Kenya

Kikao hicho muhimu kilihudhuriwa na Wakuu wa Nchi 17 za barani Africa

Credit: Mkuu Bagamoyo wa JF akiwa International Forum
Ruto hakuhudhuria? Mbona alihutubia Wafanyakazi wa Kenya na kuwapa nyongeza ya asilimia 6?
 
Nilimuona Mheshimiwa Rais na nyuma yake aliketi Mwigulu.Hotuba ya Mseveni ilisheheni vilivyo na ilikuwa na mafunzo makubwa kwa wachumi wetu.Natamani maneno ya Mseveni yalimuingia vilivyo Mwigulu na alielewa ili angalau anaweza fanya kitu!
Museven ana maono/maarifa ya namna ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake.
Wakati M7 anatiririka kuna muda kamera zilielekezwa kwa sa100 yaani unaona kabisa taswira ya mtu fulani anayeshangaa kama mwananchi layman tu wa kule Tandahimba!!.
Nadhani wakati wanarejea bongo kwenye ndege aliwaambia akina Makamba 'waende wakayatazame'!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom