Rais Magufuli afunga Maadhimisho ya Miaka 52 ya JWTZ ashuhudia Zoezi Amphibious Landing

Mbona hata huko mnachekewa tatizo dharau.wewe unapewa usimamizi mfuko wa maafa,unaufanya wa maafari.

Embu niambie unaanzaje kuchekewa muda wote.harafu huyu alishapitia jkt miaka ya nyuma hivyo sio mgeni sana mambo hayo.
Mbona uko kulikuwa na "ka..ka..kigoda" ila munatabasamu bado?kwa hiyo sisi ndio mashetani?baniani mbaya kiatu chake kizuri eeh?nitatoa tangazo kila raia mwenye mwanae na bintiye huko aje kumchukua tuone hizo amphibious ataendesha nani!
Na huyo tuliyemchagua kwa kura zetu halafu anatununia na kufokafoka tuu,nyumba haikaliki,aje atueleze kama na sie tunune au tusinune 2020?!
Munatuzarau mno sisi raia.
 
Unaogelea kwenye Amani kwa raha na kujiachia hadi huelewi kuwa uko kwenye hali adimu kwa sababu kuna majeshi yanayokulinda masaa 24
Hivi siku ikitokea robo tu ya raia wakaamua kuiondoa amani ya nchi hii,kuna jeshi lolote litakaloweza kuwazuia kweli?amani yetu inalindwa na watanzania wote,sio askari peke yao,na askari wanalitambua hilo na kulihimiza sana,hawatoagi kauli za kisiasa kama hizi zenu,wao ni wataalamu wa kulinda amani,wanajua silaha yao ya kwanza ya ulinzi ni "raia mwema".
Wewe endelea kubwabwaja politiki ila hizi politiki zenu za kudharau wananchi sio nzuri.
Muwajenge raia wajione nao ni sehemu ya serikali,jeshi n.k.Mentality hiyo itatusaidia zaidi kulikoni kuwa na raia anayewaza kubweteka kwa kuwa nchi ina amphibious tanks nyingi.
 
..hawa walitakiwa wawe Kagera wanasaidia waliokumbwa na maafa.

..kwanini wafanye mazoezi, shughuli ya kuigiza tu , wakati tuna a real crisis situation which needs their attention?
..Unataka wanajeshi Tanzania nzima waende kagera, ..
 
Usipende kutuma data za uwongo kama huna uhakika ita kuja kuku cost
Umesoma the way nilivyodeliver hiyo information hapo juu.. ?! Kwa mtu muelewa anagundua kuwa nilichofanya hapo nikufungua maelezo ya awali tu ili mtu mjuvi wa mambo atuletee data kamili... And thats why kule mwisho nmejihami kabisa kwa kusema "kama sijakosea.." which means sina uhakika na nilichoongea... Sasa kama wewe unadata kamili zimwage hapa jukwaani... Tatzo labda umejiunga JF week mbili zilizopita..
 
IMGS0951 (1).JPG
IMGS0859.JPG
IMGS0959.JPG
IMGS0844.JPG
IMGS0855.JPG
IMGS0852.JPG
IMGS0878.JPG
IMGS1030.JPG
IMGS1115.JPG
IMGS1130.JPG
IMGS1148 (1).JPG
IMGS1056.JPG
IMGS1363.JPG
IMGS1404.JPG
IMGS1273 (1).JPG
IMGS1280 (1).JPG
IMGS1283.JPG
IMGS1285 (1).JPG
IMGS1551.JPG
IMGS1300 (1).JPG
IMGS0951 (1).JPG
 
Back
Top Bottom