Raia wa Uganda afungwa miaka mitano Marekani kwa ujangili

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,481
8,334
Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo.

Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani yake imetajwa kuwa zaidi ya Tsh. Bilioni 16.3.

Kromah alikiri mwezi Machi kuhusika na genge la ujangili lililosafirisha pembe hizo kutoka Afrika Mashariki kwa ajili ya wanunuzi nchini Marekani na Kusini Mashariki mwa Asia ambako kunatajwa kuwa na soko kubwa la pembe hizo.

========================

A court in New York has sentenced a Ugandan resident to more than five years in prison for conspiring to traffic millions of dollars worth of rhino horns and elephant ivory.

Moazu Kromah was extradited from Uganda to the US three years ago.

He pleaded guilty in March to being part of a gang which transported nearly 200kg (441lb) of rhino horns and 10 tonnes of elephant ivory worth more than $7m (£5.8m).

The items came from East Africa and were destined for buyers in the US and south-east Asia, where rhino horn is much sought.

BBC
 
Back
Top Bottom