Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,602
74,457
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!

My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
 
Watu wengi sana wenyeji wa asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi ktk bara hili la Afrika hawana mwamko sana kwenye masuala ya Elimu-dunia.
 
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!
My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
Nyie mnao wapeleka hizo forma schools mnatuzidi nini, wakati wengi wanao endesha bodaboda hapa Dar niwakutoka mikoani hali zao ngumu na maadili ya dini hawana ustaarabu hawana, wengi kunywa viroba kwenye hizo bodaboda, hao hao walio soma formal school wengi ni wapiga debe hapa magufuri stendi.......sioni tofauti bora nimwandalie mtoto maisha ya akhira ajue Mola wake.
 
Hujafika Kagera wewe?
Kagera ipi unaisema? Watu wanaishi kwa umasikini uliokithiŕi wanashindwa hata kuchangia shilling 500 ya uji shuleni, mpaka wanaenda kwa mkuu wa wilaya kulalamika kwamba shule inawaibia, hapo hizo formal school zimewasaidiaje kama sio kuwafanya kua masikini zaidi.
 
Kagera hakuna ujinga kama wa watu wa pwani
Kagera watu wanajielewa
 
Bila shaka ni maeneo ya tanga kwenye ile dini ilikoenea sana. Cha msingi wapeleke watoto wao kwenye elimu zinazoeleweka kuwa na tija kuliko hayo madrasa, ni abrakadabra tu kujaza watoto ujinga na upuuzi
 
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!
My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
Kwani hao waliosoma sehemu nyingine elimu imewasaidia nini? Ndio hao mafisadi wa kalamu
 
Nyie mnao wapeleka hizo forma schools mnatuzidi nini, wakati wengi wanao endesha bodaboda hapa Dar niwakutoka mikoani hali zao ngumu na maadili ya dini hawana ustaarabu hawana, wengi kunywa viroba kwenye hizo bodaboda, hao hao walidoma formal school wengi ni wapiga debe hapa magufuri stendi.......sioni tofauti bora nimwandalie mtoto maisha ya akhira ajue Mola wake.
sawa, nimeandika kwa nia jema na si kusimanga watu
 
Back
Top Bottom