TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

Jan 15, 2018
79
65
Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.

Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

Screenshot_20210802-005543_1627855030730.jpg

IMG_20210802_212718_789.jpg

====

Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika Hospital ya TMJ.

Profesa Wenceslaus Mayo alizaliwa 06 Desemba 1960, ni mzaliwa wa Mbulumbulu Karatu, Mayo alisoma Shule ya Sekondari Ilboru na Kuwa Mwanafunzi Bora kitaifa na kuendelea na masomo yake ya Kidato cha 5 na 6 Pale Kibaha Sekondari.

Baada ya Kumaliza Pale Kibaha alikwenda Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Faculty of Engineering kwa wakati huo (Kwa Sasa College of Engineering and technology) Kusoma Civil Engineering.

Baada ya Kupata Degree yake ya kwanza akapata na Degree ya Pili yaani Masters Degree Finland.

Kisha akapata nafasi ya kwenda Kusoma degree yake ya 3 Marekani ambapo hakupendelea sana Marekani, akaamua kwenda Kusoma Degree yake ya 3 Japan.

Alikuwa ni Professor wa Maji katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Coet, Idara ya Maji.
 
Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.

Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

View attachment 1876907

Apumzike kwa amani Profesa Mayo.

Janssen ilifika lakini kwa kuchelewa mno na sasa tunaaminishwa kuwa amemfanya kazi kubwa sana kuileta.

Nasi tunasema asante.
 
Back
Top Bottom