Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Mikojo yenye povu almost nusu ya watz wanaumwa na ndo tunaita yutiai kali.
Mkojo wenye povu au Foamy urine mara zote Huwa ni signs za wingi wa Protein kwenye Mkojo na ina indicate tatizo kwenye Figo..

Hata hivyo UTI (Urinary Tract Infection) Ni Maambukizi kwenye Mfumo wa Mkojo..Usisahau Hata Figo pia Zinaweza Kuhusishwa kwenye Mfumo wa Mkojo
 
Hivi hili povu lisemwalo huwaje!?.. ningali mdogo nikikojoa ardhini povu hutoka
 
Janabi anapotosha sana. Vyakula vya wanga (sukari) ni vingi na vinapaswa kuliwa kwa wingi kwasabb miili inahitaji sukari kwa wingi sana ili kupata nishati (ATP) ya kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali za kifiziolojia.

Kuhusu nyama. Wamasai wanakula nyama na maziwa throughout the year lkn hawapati shida yoyote. Janabi anadanganya umma.

Mm nashawishika kuamini kuwa matatizo ya moyo na figo yanasababishwa na pombe, matumizi mabaya ya dawa (neno kutwa linapotpsha wengi sana. Kutwa mara 3. Mtu anameza mara 3 kwa masaa 12 badala ya masaa 24), dawa feki, dawa hazihifadhiwi vizuri kwenye maduka ya madawa,
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Acha blah blah na ujuaji uso' na msingi,unaleta researches za miaka 60+ nyuma!!
 
Mkojo wenye povu au Foamy urine mara zote Huwa ni signs za wingi wa Protein kwenye Mkojo na ina indicate tatizo kwenye Figo..

Hata hivyo UTI (Urinary Tract Infection) Ni Maambukizi kwenye Mfumo wa Mkojo..Usisahau Hata Figo pia Zinaweza Kuhusishwa kwenye Mfumo wa Mkojo
Duh na protein si ndo vyakula tunavokula mara kwa mara including diet ya kupunguza mwili tunaambiwa tule sana protein na wataalamu.
 
Janabi anapotosha sana. Vyakula vya wanga (sukari) ni vingi na vinapaswa kuliwa kwa wingi kwasabb miili inahitaji sukari kwa wingi sana ili kupata nishati (ATP) ya kuuwezesha kufanya kazi mbalimbali za kifiziolojia.

Kuhusu nyama. Wamasai wanakula nyama na maziwa throughout the year lkn hawapati shida yoyote. Janabi anadanganya umma.

Mm nashawishika kuamini kuwa matatizo ya moyo na figo yanasababishwa na pombe, matumizi mabaya ya dawa (neno kutwa linapotpsha wengi sana. Kutwa mara 3. Mtu anameza mara 3 kwa masaa 12 badala ya masaa 24), dawa feki, dawa hazihifadhiwi vizuri kwenye maduka ya madawa,
Wamasai Wana mizizi yao wanatafuna kwenye kula nyama
 
Matatizo makubwa kwa binadamu yanaletwa na wasomi wetu ambao either ni wasomi nusunusu or ni wasomi wavivu..or hawana nia ya kutusaidia kikamilifu.
Ukiongea na wazee wenye umri mkubwa 90+ ,utagundua mambo mengi ambayo hutayapata toka kwa majarida.
Kwa mfano,vyakula
ambavyo wamekuwa wakila kwa miaka mingi...vingi havina hizi preservatives,havina mabaki ya pesticides n.k.
Walikuwa wanakula milo kamili masaa yote na wanajali kushiba.Wengi wao
Ni wanywaji wa pombe za kienyeji tena pombe
za kutosha.
Taabu kwetu tunaoishi mjini..moshi wa magari,viwanda,. contaminations kwenye Maji,vyakula n.k.
Dr.Janabi na wenzake wajitahidi kuweka wazi matokeo ya tafiti toka vijijini ili tupate siri kubwa toka kwa wazee wetu.
 
Hivi hili povu lisemwalo huwaje!?.. ningali mdogo nikikojoa ardhini povu hutoka
Umewahi kufua Nguo??
Basi ukiweka foma au Sabuni ya Omo bhasi Kiasi cha mkojo huwa hivyo..
Sio Bubbles ambazo zinatokea Kulingana na Speed ya mkojo hapana..

Buble kama ukiweza kukojoa bhasi huwa zinapotea ndani ya Dakika Moja mpaka Mbili ila Mkojo wenye povu hubaki mpaka hata Dakika kumi
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Hata Hv umezungumzia hili suala mkuu,kwa kweli huyu binadamu nimekuwa nikimshangaa sana kila wakati na ninadoubt kuhusu utaalamu wake naona kuna shida kwa huyu mtu.ndio maana mtu mmoja amesema atakuwa anauma atafutiwe mshauri nasaha amsaidie.
 
Duh na protein si ndo vyakula tunavokula mara kwa mara including diet ya kupunguza mwili tunaambiwa tule sana protein na wataalamu.
Protein Inahitajika Kuliwa Sana Tena usiache kabisa..
Maana Protein ndo hujenga mwili na Protein pia ndo hutengeneza Enzymes na Hormones kwenye Miili yetu hata Taarifa za Mifumo ya Mwili ni Protein..DNA ni protein na RnA hivyo hivyo..

Sasa protein Kuwa kwenye Mkojo humaanisha nini??

Kwenye Figo Kuna machujio Zaidi ya milions ambayo huitwa nephrons na hizo nephrons zina sehemu mbili ambazo huitwa glomerulus na tubule. Hizo nephrons hufanya kazi mbili kwa kutumia glomerulus inachuja damu yote Kupitia Mishipa ya damu ambayo hupelekwa hapo na kazi ya tubule ni kurudisha baadhi ya Substances ambazo zinahitajika na mwili kwenye damu na Kutoa uchafu tu kupitia Ureter then kibofu then urethra then unakojoa..

Sasa kukiwa na Hitilafu kwenye Figo inaamaa nephrone hazitafanya kazi vizuri na Glomerulus hazitachuja damu vizuri na hivyo kusababisha kupitisha baadhi ya substanse ikiwemo Protein na zingine kwenye kwenye Tubule na mwisho wa siku zitapita kwenye ureter.....na utazikojoa..

Kwahyo zikipita Moja kwa moja huko figo and Hence lazma utazikojoa..

Sijui kama umenielewa au nielezee vizuri zaidi..
Kwanini tunapenda Kuitumia Protein kama Kipimo kwa sababu ndyo Particle kubwa kuliko zingine..
So kama Imeweza Kupita Hiyo zingine pia zimeweza kupita
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Reseaech and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua

Huna cha kunifundisha na sina cha kujifunza kwako and probably huna cha kujifunza kwangu , then let’s talks fact and scientifically

Symptomatic treatment, is it a practical treatment ? I am doubting kama na wewe ni MD au ndio wale wakukaririshwa kwenye anatomy !

Niletee data za watu 200 ambao wamekojoa mkojo wa povu and had issue kwenye kidney ? Wapo watanzania wengi tu ambao wanakojoa povu , nenda kawapime na uniletee majibu,

I am still doubting kama upo kwenye medical industry ikiwa unashindwa kujua other factors ambazo healthy person anaweza kukojoa povu na asiwe na dalili yoyote ya figo ,

Research za Alcohol zina onesha alcohol kama risk factor, stop being dumb , Alcohol isn’t causal relationship to kidney disease , leta hiyo research inayosema Alcohol inasababisha kidney disease. If that is the case , watanzania wote wangekuwa na figo

It is such a shame kusoma maandishi yako

Mkuu wa taasisi ni kwako mimi inanihusu nini, I am presenting facts , bring your facts and let’s talk

stop being emotional and subjective focus kwenye point and debate it scientifically.

Unazungumzia research za uprof ambazo 90% zinafanywa na wanafunzi kisha zinakuwa published na masupervisor na kupelekea u prof
Hizo Fellowship unazozungumzia , tell me zinashida gani kuzipata? One of the easiest thing kupata hizo fellowship hasa kwa kipindi hiki , acha kutumia maneno as if kuna anything , kwa mentality unayoonesha sidhan hata kama umeshawahi kutoka nje ya hapo TZ

Sio kila mgonjwa mwenye homa kali na kichwa maana yake ana malaria, you can’t focus kwenye symptoms ukaenda ku generalize

hakuna science wala medical ya namna hiyo na ukweli uongewe na ni kuleta intimidation kwenye society , the MoH should stop him sio jukumu lake kuwaambia watu what to eat and not what to eat bila ya kuwa evidence za kutosha

Tusiwe nchi ya mtu yoyote ataongea chochote, msemaji wa mambo ya Afya Tanzania ni Wizara na sio Janabi,
 
Back
Top Bottom