Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,319
4,316
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
 
The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene , kutofanya mazoezi etc . Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
Hiyo paragraph ya mwisho umechanganya bia na juice na soda na mafuta na maji, kwanini ifanyike research kama hyo wakati majibu yapo wazi?? Kama wasomi wote mmekimbilia siasa hata hzo hela zikiandaliwa kwaajili ya health related research si watazilamba zote?? Pia kuna channel ya YouTube nadhani ni ya MNH au JKCI zinaelezea hayo anayoongea Prof, wewe unachukua zile headlines tu kama muandishi wa habari!! Unajua ni wangapi walienda kufwatilia kiundani baada ya hizo headlines kutrends, watz 90% ni wavivu kusoma unadhani akianza kuelezea MOA za mfno, wali au chips anavyozi-relate-sha na hizo matatizo wangapi wangefwatilia,🤔 anyway good thread! Bt next time jitahidi kupangilia mada vzur usiwe paragraph hii unatoka nje ya mada kabsa paragraph ijayo unarudi😶
 
Hiyo paragraph ya mwisho umechanganya bia na juice na soda na mafuta na maji, kwanini ifanyike research kama hyo wakati majibu yapo wazi?? Kama wasomi wote mmekimbilia siasa hata hzo hela zikiandaliwa kwaajili ya health related research si watazilamba zote?? Pia kuna channel ya YouTube nadhani ni ya MNH au JKCI zinaelezea hayo anayoongea Prof, wewe unachukua zile headlines tu kama muandishi wa habari!! Unajua ni wangapi walienda kufwatilia kiundani baada ya hizo headlines kutrends, watz 90% ni wavivu kusoma unadhani akianza kuelezea MOA za mfno, wali au chips anavyozi-relate-sha na hizo matatizo wangapi wangefwatilia, anyway good thread! Bt next time jitahidi kupangilia mada vzur usiwe paragraph hii unatoka nje ya mada kabsa paragraph ijayo unarudi

You can’t teach me what to write, you have the room to initiate your own thread, I am presenting serious issue and not blah blah

Hatujifunzi sayansi kupitia clip za YouTube au JKCI .

JKCI ni kituo cha matibabu na sio kituo cha Sayansi .

Everything, every treatment that JKCI provides has already been established by scientist, there is nothing new they do , ni kufuata guideline na miongozo

I am doubting kama umeelewa the threads

Come next time
 
Umenihuzunisha sana "hatujifunzi sayansi kupitia YouTube" na huko nyuma umesema kwenye post yako umenukuu baadhi ya studies ambazo zilichapishwa kwenye majarida, YouTube is just a means of sharing info, kwahyo ulitaka hao wakina janabi wapiti kwenye majumba kutoa baadhi ya shauri za kiafya?
Then umesema JKCI sio kituo cha sayansi sawa lakini haimaanishi wao wasiwe na vitengo vya elimu kwa jamii ambayo pia ndio clients wao et kisa wao sio kituo cha sayansi.
Then "You cant teach me what to write" mi sijakufundisha bali nmetoa maoni yangu kwenye mada yako uliyoielezea, so my brother sometimes accept critics especially in this online platforms
 
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.

Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno kikizidi 40, una heart disease, ulaji wa sukari unaua figo , ulaji wa wali unaua mwili, unywaji wa Juice ni hatari kwa moyo , na aina nyingine ya maneno yake.

Huu sio ushauri wa kisayansi bali ni intimidation to the public and it is high time now The Ministry of Health should stop him immediately na Wizara ibebe jukumu lake la kuelimisha jamii kupitia taasisi za Chakula na Lishe ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri Rasmi jinsi ya kuepuka non communicable disease.

Janabi yupo ki political fame na hayupo kitabibu, na kwenye Sayansi ni UNETHICAL kuja na conclusions kama za Janabi.

The Flaminggham Heart Study began in 1948 in USA, Massachusetts ambapo ilienda kuangalia factors zinazochangia magonjwa ya moyo ( Cardiovascular disease), it was a cohort study ambayo ilichukua miaka zaidi ya 15 kuja na conclusion kuwa kuna uwezekano wa kupata heart disease kama unavuta snaa sigara, unene, kutofanya mazoezi etc. Na hii haikuwa ni confirmation, it was just a risk factor and not CAUSAL RELATIONSHIP!

Kuna watu wamekuwa wakinywa, wakivuta na wakila nyama nyingi kwenye maisha yao yote hadi wanazeeka hawajui presha ni nini, figo ni nini or anything like that .

Ever wondered why kuanzia miaka ya 2000 ndio matatizo ya figo na moyo yameongeza sana?

kuna watu waliokuwa walevi na wavutaji kama wazee wetu? And all of them died due to old age peacefully, no pressure , no figo no blah blah na walikuwa wakila sna wali , Sukar, nyama etc etc

Matatizo mengi ya figo TZ yanasababishwa na matumizi ya dawa kiholela, na dawa nyingi TZ ni counterfeit, matumizi ya mitishamba bila ya kuwa na standard maalumu, ulaji wa vyakula vya kusindika etc etc na clearly hii ni risk factor sio CAUSAL RELATIONSHIP.

Unawaambia watanzania wale kipande kimoja cha muogo kwa siku, that is very unethical and intimidation. The body needs sugar ya kutosha, fats za kutosha, proteins za kutosha , vitamins and mineral to function healthy and properly.

Why miaka ya sasa tatizo la figo na heart limekuwa ni kubwa? Hapa we need answers and causal relationship na sio intimidation!

Kama mwanasayansi unapotuambia ukikojoa mkojo wa povu hilo ni figo, unatakiwa kuja na findings ambazo zimekuwa checked scientifically and generalized, any statement unayotoa ni lazima iwe supported na data and proven scientifically .

Huwezi kutumia reference za watu wachache wanaokuja Hosp ambao tayari wanashida zao then ukaanza ku generalize kwa watu wengine publicly bila ya kuwa na sufficient , consistency , coherent and experimental data, you can’t generalize kwa patients wanaokuja who are already sick ….,. That is not science and impractical.

It is unethical for such a prof kuanza kutoa statement kama hizo ambazo hazina data support, ina raise query na questions uhalali wa huo u Prof ! . Hatuwezi kuwa madaktari wa social media na mitandao kwa mitaji ya KISIASA.Ni misleading na intimidation kwenye jamii unnecessarily.

Kama kweli unywaji wa pombe unapanua moyo …… demonstrate it , shows us ….data zipo wapi …..and what about the people who drink day and night… na hawana anything like that …. Tuna conclude vipi?

Ndio maana tunasema science has to be respected ili kuzuia personal experience kutawala.

Badala ya GOVT kufund research za kimkakati ambazo zinaweza kutuletea majibu na causal relationship as to why tatizo la figo na moyo limekuwa kubwa kuanzia miaka ya 2000, tunaenda kuspend billions of money kununua V8 za wakuu wa wilaya. Shame!
ASANTE MKUU KWA UFAFANUZI JANABA NI MPOTOSHAJI NA MCHOCHEZI
 
Elineemah!
 
Proffesor Janabi kafanya Research Nyingi sana and he Is very Respected Man kwa Upande wa Research and Medical Health Studies..

Andiko lako Limejaa Theoretical Arguments Nyingj sijaona Epidemiological Argument au biostatistics Arguments za kupingana ma Proffesor Janabi..

kuhusu Signs Za magonjwa Are you even a Medical Practitioner Even a Junior One??

Kwasababu inashangaza huwezi kujua hata Signs na symptoms za Kdney disease ambazo Janabi anazisema Kila mara na Unataka achunguze sasa achunguze nini tena?

Kama Hutojali Ningependa Kujua UnEthical Arguments au UnEthical Statements Ambazo Janabi amezisema..

Unataka Data Support kwenye dalili za Wagongwa ambazo ni Pathological Findings?
Hizo ni alter Physiological Xtics kama Umesoma Unaweza kujua Kwanini mtu anakojoa Povu..
Na wala usinge kuja Kuandika Uzi kujiabisha kumjudge Proffesor..

Kuhusu Alcoholism na Magonjwa ya figo..
kuna Research zaidi ya 1000 zimefanyika na Zimeprove hivyo ukitaka Nitakuchambulia..
Ulitaka Research personel au Serikali wapite nyumba kwa nyumba kufundisha Findings za Research hizo???

Ni kukosa Adabu kuandika Vitu ambavyo Huna Elimu navyo na Unahisi Una Elimu navyo wakati hakuna unalojua Kuhusu Hivyo vitu...
Na hii kitu sio sawa ..

Unamu attack Kiongozi mkuu wa Hospitali ya Taifa kwa Misingi Ipi??
Unahisi Unajua Kuhusu Yeye??
Research ngapi umefanya??
Vipi Umefanya Fellowship ipi??
Tujifunze kuwa Na mipaka kwenye kila Kitu sio kila kitu tujifanye tunajua
 
Back
Top Bottom