Posta kuendeshwa kizamani Je awaoni ukuaji wa teknologia?

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Mar 24, 2019
374
483
Posta inakwama wapi??

Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha huduma zote zinafanyika kimtandao nikasema yes fursa si ndio hii acha nianzishe sanduku langu langu kweli nikafanikiwa kufata taratibu zao zote kwa kujaza vitu walivyohitaji.

Walihitaji picha ya passport
Walihitaji namba za nida
Walihitaji anuani yangu ya makazi
Walihitaji pia sehemu nitakayohitaji sanduku langu liwepo ama pa kufatia funguo nahisi

Changamoto iliopo kwanza nilikaa mwezi mzima bila kupatiwa sanduku nikajaribu kupiga namba za huduma kwa wateja zilizopo kwenye App yao hazipatikani

Ikabidi nisumbuke katika mitandao yao ya kijamii nikapata huko namba zao baada ya kuwapigia wakanambia natakiwa kwenda kukamilisha usajili posta nilijaribu kuhoji kwanini hawayaelekezi hayo wakati wa kujisajili sikupata jibu stahiki..!!

Nikasema isiwe tabu acha bhana niende huko huko posta baada ya kwenda posta nikapewa fomu nikajaza baada yakujaza nikamrudishia mtoa hudumu nikasubilisha kama dk 30 kisha nikapokea kwamba natakiwa nibadilishe address yangu na hapo hapo app yao hairuhusu kubadili update sasa.. nachojiuliza hii kampuni iko serious kweli au awajui dunia inaelekea wapi ili jambo naona lilikua linawezekana kila kitu kumalizwa online wewe ikiwa kuitwa ungeitwa kwenda fata funguo na kuonesha sanduku lako..

Tuachane nahayo nipo hapa kuhitaji msaada kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata sanduku kwa haraka nipo tayari hata kutoa pesa ya ziada ahsante!!

Maana juhudi zangu zishakwama

POStanzania
 
Walitumia mabilioni ya peda ya kodi ya watanzania kuweka vibao namba za nyumba mtaani. Eti wakisema barua na parcels utakuwa unaletewa hadi home. Lakini hakuna kitu na hata waziri aliyekuwa anaruka na chopa hajaulizwa mbona matokeo haba
 
Back
Top Bottom