Polisi wamfanyia vibaya muandamanaji wa Hamas kama walivyomfanyia George Floyds

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,354
11,225
1714554315816.png
Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek.
Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa.
Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa na rangi ya ngozi yake nyeusi jambazi japo hakuwa na silaha.
Mwaka huu aliyefanyiwa hivyo ni msomi na professor katika chuo kikuu tena rangi moja na askari aliyemkandamiza kwa kurudia rudia.Hapo ilikuwa ni kwenye kutawanya maandamano ya kuunga mkono Hamas huko New York.
 
Attachments

  • 1714554315543.png
    1714554315543.png
    997.3 KB · Views: 1
Hatari sana.

...sasa wanawafanyia figisu waandamanaji kwa kuwasingizia kwamba ni wabaguzi wa wayahudi-Antisemitic. Kumbe wala, Wananchi wamechoshwa kuona video za watoto wadogo wa Wapalestina waki uwawa kamavile wao ndio maaskari wa Hamas.

Inasikitisha sana.

Ingekuwa huku kwetu hiyo. CHADEMA wangelia machozi ya mamba.
 
Siyo 2014, ni mwaka 2020. Rekebisha mwaka wa tukio la Floyd.
👇👇
 
Unaamini video za Hamas... kindly amsha akili yako Hamas waigizaji wakisaidiwa na Aljazeera.... wapumbavu waongo na wajinga even video zao ukisikiliza tu ni uongo mtupu...

Mimi kamwe siamini uongo wa media za Qatal Aljazeera, Lebanon na Iran wanatumia Imani za Kidini kudanganya wasio Waislam..

Kashfa zaote za Hamas zimefuatiliwa hadi kwenye Satelite zimegundulika ni uongo.. hata makaburi ya halaiki picha za satelite zimeonesha wao ndio walizika ndugu zao na hizo story za drip na pingu ni fix pia kumbuka Hamas wameua wasaliti vifo vibaya...

Nitakuwa wa Mwisho kuamini Muslims news... even muslim fake wa Jf karibu kila siku wanaleta thread za uongo... kuna siku Faiza fox alituambia IDF wameshindwa vita wamekufa maelfu.. hata sasa mtag atakuambia Hamas ameshinda vita.

Wanaoandamana Aljazeera kutwa kutuambia ni wanafunzi Polisi wameenda wamekamata majitu ya nje yameharibu chuo haswa yanafunika nyuso sijui ni mashehe..

WEST waliambiwa waislam wanaowapokea kwa wingi siku kitawageukia viongozi wa arab wanawajua watu wao ndio maana atakayeleta ujinga ni kitanzi tu they are human animals
 
Siyo 2014, ni mwaka 2020. Rekebisha mwaka wa tukio la Floyd.
👇👇
Sawa
 
Unaamini video za Hamas... kindly amsha akili yako
Mkuu, wiki hii nzima kuna picha na video za wamarekani wakiwa katika maandamano ya kupinga vita vinavyoendelea Karia ya Israeli na Wapalestina. BBC, TV5 DW canal plus-hizo ni Video za Hamas? Mwandishi wa kipalestina wa BBC amefanya mahojiano maalum na chombo chake mwenyewe-Unadai na hiyo ilitengenezwa na Hamas. Punguza Propagand.
Hamas waigizaji wakisaidiwa na Aljazeera.... wapumbavu waongo na wajinga even video zao ukisikiliza tu ni uongo mtupu...
Sitazami Al Jazeera peke yake kupata taarifa.
Mimi kamwe siamini uongo wa media za Qatal Aljazeera, Lebanon na Iran wanatumia Imani za Kidini kudanganya wasio Waislam..
☝🏿Hiyo juu ni script ya wanaorusha propaganda-nadhani wewe ndio uamshe hizo akili zako-changanya-you sound Biased.
Kashfa zaote za Hamas zimefuatiliwa hadi kwenye Satelite zimegundulika ni uongo.. hata makaburi ya halaiki picha za satelite zimeonesha wao ndio walizika ndugu zao na hizo story za drip na pingu ni fix pia kumbuka Hamas wameua wasaliti vifo vibaya...
...kwanini tupoteze wino? Weka hiyo taarifa hapa, zaidi ya hapo, unafanya propaganda tu. Na porojo juu yake.
Nitakuwa wa Mwisho kuamini Muslims news... even muslim fake wa Jf karibu kila siku wanaleta thread za uongo... kuna siku Faiza fox alituambia IDF wameshindwa vita wamekufa maelfu.. hata sasa mtag atakuambia Hamas ameshinda vita.
Nani ameshinda vita?
Wanaoandamana Aljazeera kutwa kutuambia ni wanafunzi Polisi wameenda wamekamata majitu ya nje yameharibu chuo haswa yanafunika nyuso sijui ni mashehe..
Huna uhakika na unachokisema na unatumia lugha iliyojaa hisia na ubaguzi.
WEST waliambiwa waislam wanaowapokea kwa wingi siku kitawageukia viongozi wa arab wanawajua watu wao ndio maana atakayeleta ujinga ni kitanzi tu they are human animals
Duh.😂😂😂😂 The truth is Humans are Animals. Ila wewe unaleta hiyo lugha ya kusengenya. Human Animals. 😂😂😂
Hay umesomeka, ujumbe umeutuma.✌🏿 May peace find your soul.
 
View attachment 2978131Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek.
Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa.
Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa na rangi ya ngozi yake nyeusi jambazi japo hakuwa na silaha.
Mwaka huu aliyefanyiwa hivyo ni msomi na professor katika chuo kikuu tena rangi moja na askari aliyemkandamiza kwa kurudia rudia.Hapo ilikuwa ni kwenye kutawanya maandamano ya kuunga mkono Hamas huko New York.

Hayakuwa maandamano ya "kuunga mkono Hamas". Kuwa mkweli.
 
Screenshot_20240503-073620.png
 
Back
Top Bottom