Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,702
21,292
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.

Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.

Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?

Tembea uone vichekesho.

Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
 
We wa wapi bado unateswa na wanawake karne hii?
 
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.

Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.

Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?

Tembea uone vichekesho.

Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom