Pisi kali ni majasiri na wavumilivu sana

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
9,052
12,301
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile chakula, vinywaji na labda mnaenjoy live band music 🎵

Aise huwa pana mbu wakali mno, wanaong'ata sana, Lakini pia saa zingine huwa kuna baridi la kutisha.

so, nawapongeza sana ndugu zetu hawa kwa ujasiri na ustahimilivu wao mkubwa sana, kukabiliana na changamoto hii nzito sana ya kutafunwa na mbu na baridi kali sana na wakati mwingine mpaka asubuh 🐒
 
KAZI kweli kweli
 
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile chakula, vinywaji na labda mnaenjoy live band music

Aise huwa pana mbu wakali mno, wanaong'ata sana, Lakini pia saa zingine huwa kuna baridi la kutisha.

so, nawapongeza sana ndugu zetu hawa kwa ujasiri na ustahimilivu wao mkubwa sana, kukabiliana na changamoto hii nzito sana ya kutafunwa na mbu na baridi kali sana na wakati mwingine mpaka asubuh
Halafu ukute ni mbu wa dar
 
Pisi kali nyingi ni ombaomba.

images (1) (1).jpeg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Halafu ukute ni mbu wa dar
ulijuaje aise 🤣

nimeamdika uzi huu baada ya kuona mwenyeji wangu anateseka kweli kweli kwa mbu na baridi kali kwenye eneo hili la wazi apa dar, kijichi sehemu flani hivi panaitwa KINGAZI 🐒
actually nipo dar one time 🐒

huruma imeniingia hadi imebidi nimpatie shuka langu la kimasai ajifunike 🐒

mbu wa dar jeuri sana....
 
Wenyewe tunaita kufa na fashion. jitahidini kwenda sehemu ambazo hazing mbu/classic, au sehemu watawawashia dawa ya mbu isiyo na harufu ile ya zamani ya mzunguko hivi, mfano fishmarket huwa wanawasha karibu na miguu, au lah kuna sehemu wanawapa zile mosquito repellent za kupaka.

Huku uswahilini kwetu ni vyema kuvaa suruali.
 
Samahani Muheshimiwa...
Hivyo mkitoka hapo na huyo pisi kali ulompa shuka lako la kimasai, mnaenda kufanya ibada ya upatanisho..??

Ahsante.
no,
sikua ratiba nyingine na yeye baada ya pale kulingana na majukumu mazito, ratiba ngumu, uchovu na safari ya kurejea mkoani asubuh hii 🐒
 
Wenyewe tunaita kufa na fashion. jitahidini kwenda sehemu ambazo hazing mbu/classic, au sehemu watawawashia dawa ya mbu isiyo na harufu ile ya zamani ya mzunguko hivi, mfano fishmarket huwa wanawasha karibu na miguu, au lah kuna sehemu wanawapa zile mosquito repellent za kupaka.

Huku uswahilini kwetu ni vyema kuvaa suruali.
uko sahihi 🐒
 
Back
Top Bottom