Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
478
2,106
Tazama mwenyewe,
Screenshot_20240510-113921_Instagram.jpg
 
Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview
 
Mkuu usilinganishe life la uingereza na Tanzania, huku ukijipata kidogo tu ukiona inabidi uwabebe kwenu na ukweni.

Foden kipaji kimembeba mambo mazuri kibongo bongo mtu ana miaka 31 bado mambo tasa anabeti tu, ana biashara ya uongo na kweli pia anaenda dodoma kila mwezi kwenye interview

hata bongo wapo watu wengi vipaji vimewabeba. wana umri mdogo na kipato wanacho ila bado ni wagumu kuoa. mfano Ray Vanny, Harmonize, Hasheem Thabeet na wengineo
 
Back
Top Bottom