Peniela (Story ya kijasusi)

Udhaifu mkuu katika hii stori ni namna waovu wanavyofikia hatma yao. Yani mtu mwema kama anitha anakufa kifo kibaya wakati waovu kina kogomba na wengineo wanakufa lakini sio katika kiwango kinachotakiwa.
Nilitegemea kuona dr joshua akiteswa sana au kuhukumiwa na kufilisiwa, sijapenda hatma ya anna ila hadithi imetulia
 
Hiyo ndio iko hata katika maisha life is not fair only god is fair..assume Mathew akitaka kumuoa penny kwenye real life sasa na ana wazaz alafu wazaz wajue tabia za penny huo mtiti ukoje hapo
 
Kiukweli Mwisho Sijaupenda Wahusika Hawa Mtunzi hakuwatendea Haki
Anita na Anna

Pia Mtunz kamshusha hadhi alokuwa nayo Mathew kwani uzembe wake wa kutokukiweka Kirusi ktk Sehemu Salama ndo uloleta Maangamivu ingependeza kama angefanikiwa kukitia Mikononi kuliko kazi yote na Damu ya Noah kumwagika pasina faida ilhali Mwaulaya alifanikiwa kutunza kirus leo Mathew kashindwa kukipata

Pia Kiujumla Mtunz kaonesha kuchoka Labda sababu ya Urefu wa Riwaya ama kutaka kuingia Sokoni lakini Kwa Ujumla Wahusika kawauwa kwa Mara moja na kutuaminisha hivyo ilhali akiicha Jamii kwenye Taharuki

Binafs nimekosa Raha kabisa
 
Tatizo mkuu unataka ishe unavyopenda ww yn lkn hpa ukimuacha mmoja tu story imekuwa ndefu sana bora walivyofyekwa hv
 
Safi ingawa safari hii the thing is all over the place, inachanganya kupata mtiririko wa maana kwani kuna sehemu zina miss, ila thanks Lege, bora tungekuwa patient humu ndani mzigo ungeletwa kwa style ile ya awali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom