Peanut Brownies (Ni kama biscuti za karanga)

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,215
Peanut Brownies.. ( Ni kama biscuti za karanga )

ingredients
100 g Butter
150 g cater sugar
1 egg
200 g flower
10 g cocoa
2 g Baking Powder
100 g roasted peanuts

Changanya butter, sukari na yai mapaka iwe laini,
pepeta unga wa ngano, cocoa na baking powder kwenye
mchanganyiko.. . finyanga pamoja (kama vile unatengeneza
chapati za kusukuma ) malizia kwa kuweka karanga endelea
kufinyanga (taratibu sasa sababu ya karanga).

chukua mchanganyiko gandamiza kwenye kiganja , tengeneza
mviringo midogo midogo , weka kwenye tray
(weka baking sheet kwenye tray {kama unayo})

Bake at 190 degrees C.. until lightly colored (kama dakika 15 hivi)
(washa Oven yako kama dakika tano hivi kabla ya ku Bake)

osha mikono vema kabla hujaanza hili zoezi...

watoto watafurahia baada ya shule kabla ya chakula cha jioni....
na glass moja ya maziwa hapo... wataacha kukusumbua ,mama mama....
(Ni biskuti kwa hiyo waweza kuhifadhi kwa muda mrefu tuu)

Asanteeni
AD..

 
Back
Top Bottom