Nyagaka Ouko ni nani?

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
676
1,397
Nairobi!

Kijana wenu hapa,

Naomba kujua huyu jamaa ni nani, biography yake na anafanya nini?


Huyu alikua mfanyakazi wa safaricom na ndio father wa Mpesa miaka ya 2012, sema hajulikani na founder na mpesa anajilikana kama Nick


Je nini kilimkuta?, alifungua kesi au yupo yupo tu innovation yake imepotelea safaricom
 
Back
Top Bottom