bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,220
2,205
Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao kutekelezwa kusimikwa.

Ndugu zangu tafakari Haya matukio yalivyokuwa na ushirikiano. Moja, wamarekani walimfunza Osama ambaye wakaja mtumia kulipua majengo yao ili waanze vita ya ugaidi, lile tukio ukizama ndani utashangaa maajabu yake, kama gorofa kushuka zima zima kisa kamoto kadogo tu! Mbili, kwenye hii vuta nikuvute kati ya Israel na Iran kuna kikundi kilifanya ugaidi ndani ya Iran mara baada tu ya Hamas kushambulia Israel. Tatu, Isis kufanya ugaidi ndani ya Urussi. Hivi inakuwaje vikundi hivi vinashambulia adui wa marekani, hivi ina maana viongozi wake ni punguani kiasi kikubwa mpaka wasijue kanuni za kivita " enemy of my enemy is my friends."

Ndugu zangu waislam ili mpango wa serikali moja ufanyike mnatafutiwa sababu ya kufutwa wote kwa wakati mmoja. Mkae mkijua huu mpango sio wa serikali ya marekani, bali ni mpango wa viumbe vinavyoishi marekani vikishirikiana na baadhi ya watendaji serikalini. Viumbe hivyo sio binadamu wa kawaida, vipo kama mijusi, kama joka la Mdimu na kwa ujuzi vilivyonavyo vinawaingiza kingi, jamani fungueni Macho mapema kabda shughuli haijaanza.
images (1) (30).jpeg


Mfano ulio hai kuhusu ujio wa serikali Ni Corona - covid 19. Ule ugonjwa ulikuwa na lengo la kutuanda walimwengu kufwata maagizo ya serikali kuu.

Mambo Haya yanaumiza sana kuona watu wema katika harakati za kumfata Allah kupotezwa njia. Haya matukio sio ya kufumbia macho kwani mwisho wake sio mzuri. Huu uhusiano haramu ni wa kukemea kwa nguvu zote.

Hata hivyo, kusema waislamu wenyewe mtaweza kumshinda huyu adui sio kweli, kwani adui kajipanga kwa mipango level tano mbele hivyo kuna haja kuungana na wakristo walio wema kuhakikisha ushindi na asalama kwetu sote. Haya matukio ya Ugaidi yatokeayo duniani kujifanya hamyaoni au kufurahia kimoyomoyo ndiyo adui yetu anataka iwe hivyo.

Kipenga kimeshapulizwa.

download (3) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom