#COVID19 Nitapata wapi chanjo ya covid-19?

Njoo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma chanjo inapatikana bila tatizo
 
Wakuu nahitaji kuchanja lakini sijui hata napata wapi hio huduma naombeni muongozo wenu
Uko mkoa gani?

Kama uko Dar nenda hospitali ya taifa ya Muhimbili. Au hospitali ya Aga Khan ile kubwa, Au hospitali ya Amana/Temeke/Mwananyamala.

Kama upo mkoa mwingine wowote ambao sio Dar basi nenda hospitali ya rufaa ya mkoa uliopo.
 
Uko mkoa gani?
Kama uko Dar nenda hospitali ya taifa ya Mubimbili.... Au hospitali ya Aga Khan ile kubwa, Au hospitali ya Amana/Temeke/Mwananyamala.
Kama upo mkoa mwingine wowote ambao sio Dar basi nenda hospitali ya rufaa ya mkoa uliopo.
Umemaliza kazi.
 
Back
Top Bottom