Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
Labda ananunua kwa mtu/ mkononi/ usedSasa shehe si wewe mwenyewe utajua kuwa unanunua simu ya mkopo , kwa kuanza kutoa kianzio halafu kunakoelekea kidogo kidogo ..
Angalizo usinunue simu ya mkopo utakutesa shehe..
Kulipia bukubuku kila siku ni kuwapa faida kubwa wao.
Labda ananunua kwa mtu/ mkononi/ used
So hataki mtu amuuzie simu yenye mkopo
Sasa kama ameshalipia miezi 3 mbeleUnamwambia muuzaji akuazime ukae nayo siku mbili uichunguze.Asiweke password. Utajua tu.
Na yeye amlipe kiduchukiduchu/mafungu.Sasa kama ameshalipia miezi 3 mbele
Ni marufuku kununua simu mikononi, basi aombe risitiLabda ananunua kwa mtu/ mkononi/ used
So hataki mtu amuuzie simu yenye mkopo
Muombe risitiNamaanisha mkononi kwa mtu na wew
Kinaweza kuzuiwa kisitokee.ina ki notification juu inakwambia simu hii ni ya mkopo😂😂😂
Je hizi za hawa wa madukani ?Simu ya mkopo inakuwa na app ambayo huwezi kui_uninstall! Mfano tigoapp, vodaapp! Juribu app zote kama zinakubali! Ukikuta moja haikubali ifungue itakupa details zote! Vile vile simu za mkopo hazikubali "factory reset"
Vijana wakiona matangazo yetu wanadhania tunatania. Nilisha zunguka Kariakoo nzima simu nilizo ziona ni original ni Infinix na Tecno tu. Zinazobakia sikuona simu. Nikaenda Mlimani city simu nilizozikuta ni simu za matoleo ya sasa tu na zina bei kweli. Nikamua kuingia maduka ya China. China napaheshimu.Nenda kanunue simu dukani kijana.
Simu zimewapa kesi sana watu aisee.
Mbona simu bei rahisi zipo nyingi tu mkuu, mcheki Meneja Wa Makampuni akuuzie mpya tu.
Achana na mambo ya kwa mtu hapa bongo utauziwa kesi.
Meneja Wa Makampuni usisahau kunipa ganji yangu
Hakuna simu janja ya hali nzuri hata kiwango cha chini ya bei rahisi mkuu! Bila laki 3.5 au 4 hupati simu! Bado simu janja ni ghari kwa watu wa kipato cha chini! Unaweza kukuta ukoo mzima hakuna mtu mwenye simu ya laki 4 😂😂Nenda kanunue simu dukani kijana.
Simu zimewapa kesi sana watu aisee.
Mbona simu bei rahisi zipo nyingi tu mkuu, mcheki Meneja Wa Makampuni akuuzie mpya tu.
Achana na mambo ya kwa mtu hapa bongo utauziwa kesi.
Meneja Wa Makampuni usisahau kunipa ganji yangu
Nao wana utaratibu wao! Huwezi huza simu ya mkopo bila app ya kuzuia wajanja wa kukwepa kulipa! Simu zote za mkopo zina navigation app za kujua mahali unapoishi! Ukileta ujanja watakupigia hodi mlangoni! Ogopa technolojiaJe hizi za hawa wa madukani ?