Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 11,127
- 23,108
Inategemeana na matumizi yako.Hakuna simu janja ya hali nzuri hata kiwango cha chini ya bei rahisi mkuu! Bila laki 3.5 au 4 hupati simu! Bado simu janja ni ghari kwa watu wa kipato cha chini! Unaweza kukuta ukoo mzima hakuna mtu mwenye simu ya laki 4 😂😂
Kununua simu ya laki 4 kwa ajili ya kupiga, kupokea na kutuma sms hayo ni matumizi mabaya ya laki 4.