sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 423
- 2,628
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.
Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma watu wamtukane Rais mitandaoni.
Kuna kitu hakipo sawa, kuna mtu anaeogopwa sana na Rais Samia pamoja na utawala wa sasa.
Je, huyo mtu ni nani?