Ninaupungufu wa kujiamini, hali hii inaishaje?

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,450
5,179
Kama ukiniona kwa mbali tu au tukiongea kwenye simu, au ukiona picha yangu, naonekana handsome flani, kijana mwenye kujiamini na mwenye sifa kedekede, ila ukikaa na mimi dakika kadhaa tukaongea, utaniona ni mtu mshambamshamba, nisie jiamini, mwenye mambo ya kitoto na kadharka.

mara nyingi unakuta watu wananihofia sana ila wakishanizoea wanasema kua kumbe ni mshamba mshamba tu ingawa physic yangu inasema tofauti.

Naweza ongea na msichana kwa simu na akaona picha yangu akajua ni bonge la bwana ila tukikutana tu baada ya muda anapoteza interest kwakua ameshaona ule ushamba wanu na kutokujiamini. mimi mwenyewe nalifahumu hili ila sijui natokaje, naomba msaada wa mawazo
 
Tuko wengi na baad ya miaka 100 tutakuwa tumekufa hayatakuwa na maana Tena. Jipende sana na kuwa na furaha ya kweli 😊
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom