Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu.
Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya delivery, transportation na nyingine yoyote ambayo utahusisha usafiri wangu kwa siku za kazi mana nina wastani wa vipindi viwili kwa siku kila kimoja masaa mawili hivyo nina masaa manne chuoni.
Naa hata ikiwapendeza nikapata kijiwe ambapo nitafanya bodaboda(kwa weekend) nitashukuru sana mana kwa ninapokaa ni mgeni na boda ni nyingii nilichonga na boda mmoja aliniambia tuu kuna ubinafsi mwingi sana
Pikipiki yangu ni used ipo na hali nzuri nawaombeni Ndugu zangu wakubwa zangu ushirijiano katika hili...Mungu awabariki napokea na ushauri