Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,342
- 34,035
thubutu kukutwa na bwana PepsiSijui nianze ku trade real na mimi maana zile loss nilizokuwa naingia kwenye demo nikahisi labda sijaiva kumbe wote
thubutu kukutwa na bwana PepsiSijui nianze ku trade real na mimi maana zile loss nilizokuwa naingia kwenye demo nikahisi labda sijaiva kumbe wote
Usipokubali loss ya dola 250 basi kuna siku utakubali loss ya dola 1000+!!Euro imenichafua hata mimi but leo soko lipo closed But sitakubaliana na hii loss 250$$ ila sina hofu nazan nita close chini kwakua mtaji upo 2000$+++haina mbaya
Usitrade ukiwa busy, pia jifunze technic ya kutrade muda mfupi tu say half an hour or hour ,ikizidi sana masaa manneKufumba na kufumbua nimefanikiwa kupukutisha acc zangu ndogo za forex. Moja ilikua na $78 ambayo niliikuza kutoka $10
Nyingine ilikua 40 ambayo niliikuza kutoka $5 ndani ya siku 4.
Nilifanya biashara alafu nikaendelea na kazi nyingine. Huwa siweki SL.
Sihesabu kama hasara Bali nahesabu kama gharama za kufanya forex. Ahsanteni sana
Hapa ndio kwenye sehemu ambayo wa tz wengi inawashinda...Ukitaka ufanikiwe ktk forex kitu cha kwanza ukubali kusoma sana vitabu na kuelewa
Sasa kama mtu kusoma tu ni kitendawili ataacha kuamini kila kitu cha mentor, anyway sio kitu kibaya, ilaunapo ambiwa SELL then na wewe unatakiwa ufanye cross check je ni kweli ni sahihi ku SELL?? then uchukue maamuzi...Tatu usiwaamini sana mentors au usiwaamini kabisa ,amini analysis yako.
Forex ndo nin
Gugo si wameandika kizangere
Siku hiyo Kiduku alinipa $250 kwa dakika 10Acha kabisa mkuu... Kuna siku kiduku alivurumisha kombora kwenye anga la japan pesa ya japan ikapanda kama inakimbizwa huku dola ikishuka kama jiwe limerusha kutoka juu ya mti!! Hapo sijaweka impacts za trump kwenye tax reforms...
Marais wa benk kuu za wenzetu wana nguvu sana akitoa speech jua soko litavurugika tu... Kama huna uzoefu na fundamental analysis ni bora ukae pemben mpaka upepo ukae sawa...
Nilikua na EC euro/CHaFuUsipokubali loss ya dola 250 basi kuna siku utakubali loss ya dola 1000+!!
Kama ulikua kwenye EURUSD jua imetoka 1.6 ikaenda 1.7 kuna uwezekano ikafika 1.2 ndio i rreverse!! sasa hapo sijui utakua kwenye loss ya ngapi....
Hata EURCHF ina base currency ya euro mkuu....trend yake ni sawa na trend ya EURUSD.... refer currency correlation...E
Nilikua na EC euro/CHaFu
Nimesha close leo na faida kem kem set and forgetHata EURCHF ina base currency ya euro mkuu....trend yake ni sawa na trend ya EURUSD.... refer currency correlation...
nimejifunza kitu hapa... shukrani..Ukitaka ufanikiwe ktk forex kitu cha kwanza ukubali kusoma sana vitabu na kuelewa
Pili practice sana ulichokielewa ktk demo mpaka ujihakikishie umeweza
Tatu msome broker kama ni wa ukweli au ni scam,
Tatu usiwaamini sana mentors au usiwaamini kabisa ,amini analysis yako.
Si kila Siku ni ya kutrade, trade smart but not often.
Jitahidi usiwe addicted ,kuna muda utajifunza market hata ukiwa nnje.
Forex ni biashara halali na inaweza kupa faida consistently ila si get rich quick scheme though you can get rich quick
Kuna rafiki yangu amewahi niambia forex ni kama msitu una mengi ndani yake, sasa namuelewa.