Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
1,025
1,906
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli
inbound135798216688329893.png

Tukaendelea
inbound4127857367911481071.png

inbound3861494555714010721.png

inbound3861494555714010721.png

inbound4019505921517743152.png

Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, Ina maana serikali imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
 

Attachments

  • inbound1366426432969984196.png
    inbound1366426432969984196.png
    32 KB · Views: 26
  • inbound7790857330061702849.png
    inbound7790857330061702849.png
    32 KB · Views: 20
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweliView attachment 2676117
Tukaendelea
View attachment 2676118
View attachment 2676120
View attachment 2676120
View attachment 2676122
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the way alivokuwa anajibu maswali niliyokuwa namuuliza, naona kabisa huyu bubie yupo kwenye huu mtandao wa madawa, nimeamua kuachana nae.

Kitu kilichonishangaza anaongea kwa kujiamini sana, kwamba mama yake kakamatwa na mzigo mambo yote yashawekwa sawa anatoka, serikqli imekuwa laini kiasi hiki? Binafsi namuomba mungu kaamua kuyaweka haya mambo wazi mapema, Angeweza hata kuniletea shida wakati sijui lolote kuhusu haya mambo.
Wewe shida yako ni pesa au ndoa?
 
Nipe namba yake pm. Huwa napenda wadada Kama Hawa risk takers na sio nyoronyoro mkuu. Please nipe namba yake hata milioni nakupa.huu Ni mtaji kwa faida ya wanangu. Mana sio wote wenye roho hii. Wasiogopa janga ama wasio na hofu. I need fearless people
Hela nilizo nazo zinanitosha mkuu, sihitaji madili haramu ili nipate pesa za misukosuko
 
Back
Top Bottom