CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,926
Nimesia Kiwano meloni ingawa nilipata tunda moja ambalo ndio nimekamua mbegu, ila sio mbaya sana, na natarajia hadi mwakani mwezi wa 3 nifanye Market testing ya haya matunda kwenye baadhi ya Super Market kubwa Arusha kwa kuanzia na ikienda sawa tutaanza mass production.
Kiwano mellon kwa Masoko ya Asia, Ulaya na Marekani yapo sana na yanauzwa bei ilio changamka na Kiwano Melon asili yake ni Africa Kusini mwa jwangwa la Sahara.
Ila huko Asia wanalima sana now, kwa kutoa mbegu Africa.