Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

bafetimbi

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
1,085
1,735
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

40316D08-D1C4-4356-A108-6E868E6217F3.jpeg

Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
 
Uliwezaje mkuu?!!
mwanzo nilikuwa nabishia watu kwamba haiwezekani, nikajaribu mara ya kwanza mwaka 2016. nikaweka ratiba ngumu ya kazi mazoezi na michezo.

nilichogundua ukiweza kuvuka miezi mi 3 hujasex mwili una adapt wenyewe. saivi nikiamua nasex ila nisipoamua nakaa mwaka mzima,

ila sijawahi kuvuka mwaka, ikifika miezi 12 mwisho.
 
Shukrani sana mkuu. Safari rasmi inaanza leo
 
yaap hapo umenena, mi niko mwezi wa sita sasa, tangu mwezi wa 11 last year sija dip.
Ebwanaaa tuombeane man.... mimi nimeanza leo najitahidi nikimaliza mwezi mmoja tu najua sita nafika
Mkuu kwa wale ambao wakikaa wiki tu lazima apige bao usingizini, hii challenge inaaply?

Ama ni lazima zisitoke?
La usingizini halina shida ile ni natural ndivyo Mungu alivyotuumba wanaume, ila hii ya kuzitoa mbegu wewe kwa kuamua au kuendekeza utamu ndiyo haitakiwi.
 
mwanzo nilikuwa nabishia watu kwamba haiwezekani, nikajaribu mara ya kwanza mwaka 2016. nikaweka ratiba ngumu ya kazi mazoezi na michezo.

nilichogundua ukiweza kuvuka miezi mi 3 hujasex mwili una adapt wenyewe. saivi nikiamua nasex ila nisipoamua nakaa mwaka mzima,

ila sijawahi kuvuka mwaka, ikifika miezi 12 mwisho.
Sababu mimi nimeanza leo, kwa uzoefu wako kwa hiyo miezi sita zile ndoto nyevu zinaanza kukujia ikifika mwezi wa ngapi!!!?
 
Hongereni sana 😅😅
Hatuwali tena.

Tumegundua kumbe tunajimaliza wenyewe kisha tunakufa mnabaki nyie. Tumezoea kusema aaaaah yule dem nimesha mla lakini kinyume chake sasa sisi wanaume ndo tunakuwa tumeliwa.........

Maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii. so what the hell is this!!!!!!?
 
Wasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......

NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Safi sana mkuu hii ndiyo yenyewe kwanza itakusaidia ku save hela ambazo umekuwa ukizitumia kuhonga mademu
 
Back
Top Bottom