Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

Wewe unaelazimisha kuwa sio yeye basi ba wewe peleka hilo pua lako ikulu ndo utajua hujui.
yule jamaa ni yeye kabisa lkn wanuaji wanajifanya wanajua kila kitu wanalazimisha upuuzi
 
Ni watu wawili tofauti kabisaa...
Unajuwa Wabongo ni wajinga sana, siku moja nimemchukuwa bodaboda nikamuacha pale hazina mimi nikavuka barabara kwa mguu nikaingia ikulu kuna barua zangu muhimu nilikuwa napeleka, basi nilivyotoka kumfata tuondoke tayari anasema mimi usalama wa Taifa hadi mtaani kuna wajinga wenzake akawaaminisha hivyo.

Kuna wajinga hawaelewi kama unaweza kwenda ikulu kwa shughuri zako, na wauza madafu wakaletwa pale na ofisa wa ikulu wanachekiwa getini na wana usalama na scan mashine ukiingia ndani huna madhara yoyote.
 
Usitupange asee,,madafu na ikulu wapi na wapi??
 
Awe yeye au siyo yeye hiyo ni Kawaida sana

Watu wangeshangaa Mtuhumiwa wa Ugaidi kutoka Jela na kwenda Moja kwa Moja Ikulu

Muuza madafu alikuwa anayauza Bila kuyakata pale Juu? 😂😂😂😂
 
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa?

Nimemaliza.
Wewe Mkuu Ni Mkongwe Humu
Sasa Ulikuwa Unawalinganisha Shamba La Bibi, Unajua Hujaweka Kiambanisho Chochote
 
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa?

Nimemaliza.
SAUT wakunyang'anye degree yao

Maana upumbavu wako haufanani na mtu mwenye degree.

msomi unatoka kuhara zako unakuja kuleta habari ambayo haina ushahidi wa aina yoyote halafu unalazimisha Kila mtu akuamini na afuate mawazo yako.
 
Unajuwa Wabongo ni wajinga sana, siku moja nimemchukuwa bodaboda nikamuacha pale hazina mimi nikavuka barabara kwa mguu nikaingia ikulu kuna barua zangu muhimu nilikuwa napeleka, basi nilivyotoka kumfata tuondoke tayari anasema mimi usalama wa Taifa hadi mtaani kuna wajinga wenzake akawaaminisha hivyo.

Kuna wajinga hawaelewi kama unaweza kwenda ikulu kwa shughuri zako, na wauza madafu wakaletwa pale na ofisa wa ikulu wanachekiwa getini na wana usalama na scan mashine ukiingia ndani huna madhara yoyote.
Mimi pana mwaka jamaa walikua wanataka nipelele vitu ila jamaa wa kumuona Ikulu ndio ilikua rahisi kuliko Makumbusho maana Makumbusho alikua anarudi usiku na pale hakuna visit ya Usiku ila unaweza kumuona Ikulu kwa hiyo nilienda sana pale na deal langu na likafanikiwa sema watu wengi ukienda enda pale wanadhani ni sehemu ya Usalama tu kana kwamba hakuna mishe zingine zinafanyika pale...
 
Usitupange asee,,madafu na ikulu wapi na wapi??
Wewe huna akili, function za ikulu zinafanywa na private catering zilizosajiriwa GIPSA.

JF ya sasa imejaza mazuzu.
1714219723600.png
 
Nilijua tu kuwa GENTAMYCINE nitaeleweka na Werevu wachache sana kama Wewe katika hili ila FOOLS wengi bado wanaamini na wanashikilia Bango kuwa ni Mtu Mmoja. Sasa ngoja kidogo Niwaelimishe hawa FOOLS wakiongozwa na ngara23 kwa kuwaambia kwamba naomba wazichukue Picha zao kisha waanze Kulinganisha Pua zao, Makomwe yao, Mashavu yao na hasa hasa waende katika Macho yao na wakimaliza warejee hapa Kwangu GENTAMYCINE na wakiri kuwa wao ni Wapumbavu daima.
Nenda kajiridhishe na sauti zao pia.

Ni sauti mbili tofauti, zinazofanana kabisa😀
 
MUUZA NAZI wa magogoni,KOMANDO KIPENSI wa jana na Jamaa aliyeoneka amevaa kofia kama za hao mapacha wenzake akiwa anachukua fomu za CCM pale Lumumba nliowataja hapo juu ni MTU mmoja Suala ni kuwa Serikali inazidi kutuchezea TELEMUNDO ZA KIFILIPINO SERIOUS 2 huku watu wakihitaji huduma za kijamii kama vile barabara,maji, umeme Bima za Afya sielewi kama tuko na watu makini katika serikali na hizo Idara Nyeti💩💩💩
 
Back
Top Bottom