Nimelinganisha Picha za Muuza Madafu Ikulu na Yule Commando wa Jana Uwanjani na kwa Kujiamini kabisa nasema kuwa ni Watu wawili tofauti kabisa

Yule ni mtu mmoja

Hakuna utofauti wowete
Wewe unadhani ikuli ni Buguruni uende uzulule tu
Idiot nasema tena kwa Kujiamini tena kwa 100% kuwa wale ni Watu Wawil tofauti ila najua Wapumbavu mtalazimisha mtakavyo.
 
Mbona hawafanani shape ya fuvu kabisa, waTanzania nao ujuaji mwingi sana.
Nilijua tu kuwa GENTAMYCINE nitaeleweka na Werevu wachache sana kama Wewe katika hili ila FOOLS wengi bado wanaamini na wanashikilia Bango kuwa ni Mtu Mmoja. Sasa ngoja kidogo Niwaelimishe hawa FOOLS wakiongozwa na ngara23 kwa kuwaambia kwamba naomba wazichukue Picha zao kisha waanze Kulinganisha Pua zao, Makomwe yao, Mashavu yao na hasa hasa waende katika Macho yao na wakimaliza warejee hapa Kwangu GENTAMYCINE na wakiri kuwa wao ni Wapumbavu daima.
 
Back
Top Bottom