Habar za jioni wana jukwaa,
Ninaomba msaada mimi ni muhitimu wa master ya elimu Usimamizi na Utawala.
Sasa tokea nimalize nimekua natafuta kuhama idara japo nisogee katika idara zingine mfani Necta TET TEA na kwingine ambapo nina endana na elimu yangu.
Kama kuna mwanajukwaa anaweza nisaidia kupata namna ya kuchomoka tuwasiliane.