Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562

Mi nimewaelewa Jwtz. kama ilivyo kote dunia mbinu za kijeshi zinazowekwa hadharani zile ambazo tayari "obselete" ili kuwahadaa maadui.
 
Ukweli mtupu,jeshi letu sasa liwekeze kwenye teknolojia.Vita vya kisasa ni vya teknolojia.Watu wanapigana bila kuonana,wanarusha silaha na wengine wanatungua,nchi hazijapakana lakini zinapigana vita bila kutuma meli yenye maelfu ya wanajeshi.
Siyo lazima tuvumbue vifaa vya kisasa tunaweza kuiba/kuiga ujuzi.

Haya mambo ya kubeba mizigo kama makuli yameputwa na wakati.
Tunachekwa.
Endelea kuuza maziwa, mambo ya medani huwezi kuyaelewa.
 
Hili jeshi au genge la makuli wabeba mizigo sokoni Temeke ? , nguvu nyingi akili kisoda .
Jwtz ni takataka
Jeshi limejaza wapumbavu akili ndogo ,ambao kazi yao ni kugombania malaya bar na wananchi .jeshi linaloajiri failures bila merits .
Jeshi la kipumbavu linalotumika kisiasa na maharamia ccm .
Jeshi la kishenzi lisiloenda na wakati na kuwekeza katika technology .
Jwtz ni mavi
Pole kwa kukosa kazi jeshini, kurutu.
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Serikali haitaki kuwekeza kwenye teknolojia wao wafanyeje?

Ndio maana wanapiga watu mtaani wajinger hawa
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Huna unachojua kuhusu jeshi!
 
Mtu ambaye hajapitia ingalau hata mgambo utamjua tu.
 
mimi nahisi kama huwa mnaongeleaga vitu msivyovijua! Sijui movie zimewaathiri?????!!!
Unakuta mtu anaamini Comando hafi , kwamba kuna watu wanafanya mission 99% sucessful without casualities yani mambo perfect... kwamba unaenda kupambana na watu wasiojitambua unawamudu! Na lolote haliwezi kutokea.

Hivi hamusikii huko kwa watukufu wenu wanakufa mpaka maofisa wa juu kabisa!! Vita haipo kwa ajili ya mipango! Ila mipango ipo kwa ajili ya vita ile just in case! Kuna kuwahi na kuwahiwa! Sasa ukijikuta umeangukia nsituni au eneo la mission haliruhusu drone na hizo mashine zingine zingine unatakiwa sasa ubebe hizo kilo 70 zitakazokusaidia kusurvive mwezi mzima.. utafanyaje?? Na nyie mnataka jeshi zima liwe kama kitengo cha hakers au wanasayansi yani hawanyanyuki kuface mambo magumu kigumu.
 
Huna unachojua kuhusu jeshi!
Najua bhana, si ndiyo jeshi hili hili lilikiwa linagombania mavazi na raia? Eti raia akivaa mavazi yanayofanana na jeshi litashindwa kufanya kazi. Pathetic and absurd!

Wanajeshi ndiyo hawa kazi kupigana na raia kwenye mabaa wakigombea malaya. Na ndiyo maana hata maonesho yao yamejikita kwenye kuonesha maguvu kwa kubeba kilo 70, lkn akili na weledi ni mdogo kama uduvi.
 
Back
Top Bottom