Hu Jintao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,437
- 2,540
Hao ni makomando ambao wapo kwenye mission mashariki ya Congo kwenye misitu ya Beni au ituri huko.... Haya maonyesho yana ujumbe wake kulingana na mgeni au wageni rasmi au mwenendo wa Geopolitical wa eneo husika.
Kipindi Cha JK maonyesho yalitawala sana uwezo wa vifaa vya kivita. Tena vifaa vinavyoonyeshwa ni vile ambavyo mpelekewa ujumbe Hana.
Kijeshi, haiwezekani kuja kuonyesha teknolojia ya Jeshi letu eneo lile eti jinsi tunavyotrap drones ama la, hiyo ni sawa na kuuza ramani.
KAMA CODES NA MIDANIA YA KIJESHI HAUIJUI NI BORA UKAKAA KIMYA